Mwili wa Daktari Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu waokotwa maeneo ya Malolo, Tabora

Wamebinu mbuni mpya ya kutuma sms kwa ndugu kabula ya kukurestisha into pieces
 
Mwili wa Dr.Dismas Chami aliyekua Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) jumatano ya September 4 na kumuaga mkewe kuwa anakwenda mjini Tabora kikazi na angerejea kesho yake. Hata hivyo hakurejea na simu zake hazikupatikana.

Familia ilimtafuta kwa wiki nzima bila kujua alipo, lakini ilipofika jumatano ya September 11 simu zake zilipatikana. Hata hivyo alipopigiwa hakupokea. Baadae alituma sms kwa mke wake iliyosomeka "Nisamehe sana, baada ya dakika chache sitakua nanyi duniani. Simamia kila kitu nilichokiacha. Pesa zote zipo CRDB bank, simamia watoto wasome. Kwaheri"

Baada ya kutuma sms hiyo, simu yake ilizimwa na hakupatikana tena. Polisi kwa kushirikiana na familia waliendelea kumtafuta bila mafanikio. Hatimaye leo mwili wake umeokotwa maeneo ya Malolo, ukiwa umechomwa sindano. Pembeni ya mwili huo kuna madawa mbalimbali ya hospitali ambayo inadaiwa yalitumika kujidunga/kudungwa.

Bado haieleweki kama amejiua mwenyewe kwa kujidunga madawa au ameuawa na watu waliomdunga madawa hayo. Haijafahamika pia kama sms aliyotuma kwa mkewe alituma kwa utashi wake au alikua chini ya shinikizo. Polisi wamesema wanachunguza chanzo cha kifo chake kujua kama kimetokana na migogoro ya kifamilia, Msongo wa mawazo, madeni, ugomvi binafsi au sababu nyinginezo. Rest easy Dr.Chami.!
Hivi tumekumbwa na dude gani hili? Sasa hivi dunia nzima inajua sisi ni wa kutekana, kubaka na kulawiti na kuua. Zamani tulikuwa mfano kwa nchi za Afrika, na mtu hata ukisafiri kwenda nje ulikuwa proud kusema unatoka Tanzania, nchi ya kistaarabu. Nadhani kwa sasa ukienda nje (maana sijaenda muda), pengine utaulizwa, Eh! Tell me the situation in your country, I read on social media na hear on radio people disappear and are found dead the next day. Shame upon us! Tumeharibu sifa ya nchi yetu na sijui kwa sababu gani!
 
Hivi tumekumbwa na dude gani hili? Sasa hivi dunia nzima inajua sisi ni wa kutekana, kubaka na kulawiti na kuua. Zamani tulikuwa mfano kwa nchi za Afrika, na mtu hata ukisafiri kwenda nje ulikuwa proud kusema unatoka Tanzania, nchi ya kistaarabu. Na dhani kwa sasa ukienda nje (maana sijaenda muda), pengine utaulizwa, Eh! Tell me the situation in your country, I read on social media na hear on radio people disappear and are found dead the next day. Shame upon us! Tumeharibu sifa ya nchi yetu na sijui kwa sababu gani!
Hii dunia haijawahi kupowa

Ova
 
Mwili wa Dr.Dismas Chami aliyekua Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) jumatano ya September 4 na kumuaga mkewe kuwa anakwenda mjini Tabora kikazi na angerejea kesho yake. Hata hivyo hakurejea na simu zake hazikupatikana.

Familia ilimtafuta kwa wiki nzima bila kujua alipo, lakini ilipofika jumatano ya September 11 simu zake zilipatikana. Hata hivyo alipopigiwa hakupokea. Baadae alituma sms kwa mke wake iliyosomeka "Nisamehe sana, baada ya dakika chache sitakua nanyi duniani. Simamia kila kitu nilichokiacha. Pesa zote zipo CRDB bank, simamia watoto wasome. Kwaheri"

Baada ya kutuma sms hiyo, simu yake ilizimwa na hakupatikana tena. Polisi kwa kushirikiana na familia waliendelea kumtafuta bila mafanikio. Hatimaye leo mwili wake umeokotwa maeneo ya Malolo, ukiwa umechomwa sindano. Pembeni ya mwili huo kuna madawa mbalimbali ya hospitali ambayo inadaiwa yalitumika kujidunga/kudungwa.

Bado haieleweki kama amejiua mwenyewe kwa kujidunga madawa au ameuawa na watu waliomdunga madawa hayo. Haijafahamika pia kama sms aliyotuma kwa mkewe alituma kwa utashi wake au alikua chini ya shinikizo. Polisi wamesema wanachunguza chanzo cha kifo chake kujua kama kimetokana na migogoro ya kifamilia, Msongo wa mawazo, madeni, ugomvi binafsi au sababu nyinginezo. Rest easy Dr.Chami.!
Nisamehe sana, baada ya dakika chache sitakua nanyi duniani. Simamia kila kitu nilichokiacha. Pesa zote zipo CRDB bank, simamia watoto wasome. Kwaheri"🥺🥺🥺🥺😭😭😭
 
Back
Top Bottom