Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwezekano mkubwa hii mission wauaji walijipanga kwa muda mrefu na walishajua ni jinsi gani ya kudhibiti kelele za watu katika mauaji haya mpaka sasa amani imetoweka Mungu aendelee kutusaidiaMwili wa Dr.Dismas Chami aliyekua Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) jumatano ya September 4 na kumuaga mkewe kuwa anakwenda mjini Tabora kikazi na angerejea kesho yake. Hata hivyo hakurejea na simu zake hazikupatikana.
Familia ilimtafuta kwa wiki nzima bila kujua alipo, lakini ilipofika jumatano ya September 11 simu zake zilipatikana. Hata hivyo alipopigiwa hakupokea. Baadae alituma sms kwa mke wake iliyosomeka "Nisamehe sana, baada ya dakika chache sitakua nanyi duniani. Simamia kila kitu nilichokiacha. Pesa zote zipo CRDB bank, simamia watoto wasome. Kwaheri"
Baada ya kutuma sms hiyo, simu yake ilizimwa na hakupatikana tena. Polisi kwa kushirikiana na familia waliendelea kumtafuta bila mafanikio. Hatimaye leo mwili wake umeokotwa maeneo ya Malolo, ukiwa umechomwa sindano. Pembeni ya mwili huo kuna madawa mbalimbali ya hospitali ambayo inadaiwa yalitumika kujidunga/kudungwa.
Bado haieleweki kama amejiua mwenyewe kwa kujidunga madawa au ameuawa na watu waliomdunga madawa hayo. Haijafahamika pia kama sms aliyotuma kwa mkewe alituma kwa utashi wake au alikua chini ya shinikizo. Polisi wamesema wanachunguza chanzo cha kifo chake kujua kama kimetokana na migogoro ya kifamilia, Msongo wa mawazo, madeni, ugomvi binafsi au sababu nyinginezo. Rest easy Dr.Chami.!
View attachment 3095615
View attachment 3095616
Credit: Malisa GJ, X Page
Mara zote inakuwa hivyoHuenda hizo sms zimeandikwa na watu wasiojulikana kuhadaa umma baada ya kelele za kupinga watu kupotea kuongezeka..
Karibu trh 23 tukaliponye taifaHuu ujumbe umenichoma, Mungu aikomboe nchi yetu kwenye hili janga lililoshika kasi.
Hii sio Tanzania yangu!
Inaumiza sanaMwili wa Dr. Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) Jumatano ya September 4 na kumuaga mkewe kuwa anakwenda mjini Tabora kikazi na angerejea kesho yake. Hata hivyo hakurejea na simu zake hazikupatikana
Familia ilimtafuta kwa wiki nzima bila kujua alipo, lakini ilipofika Jumatano ya September 11 simu zake zilipatikana. Hata hivyo alipopigiwa hakupokea. Baadae alituma sms kwa mke wake iliyosomeka "Nisamehe sana, baada ya dakika chache sitakuwa nanyi duniani. Simamia kila kitu nilichokiacha. Pesa zote zipo CRDB bank, simamia watoto wasome. Kwaheri"
Baada ya kutuma sms hiyo, simu yake ilizimwa na hakupatikana tena. Polisi kwa kushirikiana na familia waliendelea kumtafuta bila mafanikio. Hatimaye leo mwili wake umeokotwa maeneo ya Malolo, ukiwa umechomwa sindano. Pembeni ya mwili huo kuna madawa mbalimbali ya hospitali ambayo inadaiwa yalitumika kujidunga/kudungwa.
Bado haieleweki kama amejiua mwenyewe kwa kujidunga madawa au ameuawa na watu waliomdunga madawa hayo. Haijafahamika pia kama sms aliyotuma kwa mkewe alituma kwa utashi wake au alikuwa chini ya shinikizo. Polisi wamesema wanachunguza chanzo cha kifo chake kujua kama kimetokana na migogoro ya kifamilia, Msongo wa mawazo, madeni, ugomvi binafsi au sababu nyinginezo. Rest easy Dr. Chami.!
Credit: Malisa GJ, X Page
Wewe jamaa umenikumbusha mbali sana.Tulikua tunapaita Mkwakwani pale pembeni kidogo ni Isungu Honey pot.Mwaka 1960 kabla ya uhuru wa Tanganyika. 🤔R.i.P Classmate....
Last weekend tulikua pamoja pale Tere's...😪 near by Uhazili...😥
Depression kivipi wakati mwili wake umeokotwa Malolo porini amekufa?Jiongeze kidogo.I know this Fella. Ni chadema lialia anaipenda sana chadema toka tukiwa chuo. Amepatwa na nini jamani Depression?
So Sad. ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Yeah, myuma ya Tere's naona ndio ofisi na majengo ya chama.Wewe jamaa umenikumbusha mbali sana.Tulikua tunapaita Mkwakwani pale pembeni kidogo ni Isungu Honey pot.Mwaka 1960 kabla ya uhuru wa Tanganyika. 🤔
Msg za mchongo.....na madawa ya mchongo
Oooh...sahihi.Dah!Siku mingi sana.Uhazili mwendo-mtu hadi Uzuri wa kondoo kule Kazima sekondari.Vwere longi taimu kitambo.🤔Yeah, myuma ya Tere's naona ndio ofisi na majengo ya chama.
Pale Mwana isungu tulipaita vile enzi za pawa Mabula, wakati Mihayo kanisani haujabadilishwa kutoka msingi na kuwa sekondari.
R.i.P Mwl Neema...😪
Hii inaonyesha kwamba ameuawa, wala hakujiua yeye mwenyewe.Mwili wa Dr.Dismas Chami aliyekua Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) jumatano ya September 4 na kumuaga mkewe kuwa anakwenda mjini Tabora kikazi na angerejea kesho yake. Hata hivyo hakurejea na simu zake hazikupatikana.