Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Familia wangekuwa wanapewa uhuru wa kuchangua. Nadhani kwenye hii familia apendwe zaidi nani na Mungu asingekuwa huyo mama ( Faida) wa kimataifa. Pole Mzee Malecela na wanafamilia wengine. Hivi Le Mutuz yupo nchini?
 
Mange anavyompenda huyu mama, ona sasa hawezi kuja tz hata kumzika mtu alompenda maisha yake yote.hiyo ni kwa sababu ya siasa alizozifanya huko nyuma bado zinamwandama.

Jpm ndo alisema alikuwa mbaya wake na sasa hivi jpm hayupo tena ila mange alivyoulizwa kama atakuja mazishini, alisema haji anaogopa, najiuliza anaogopa nini? Na sifa anazozimimina awamu hii ya utawala bora? angekuja tu?

Nadhani jana mange niliumia sana kuliko siku zote.maana inaonekana kweli walipendana sana ila ndo hiyo aliishia kuona ndege ikipaa.

Ili uwe salama kaa mbali na siasa kufatilia fatilia hawa wanasiasa sio ishu.
Rip mwele.
Mkuu wakati mwingine kumbe hata nauli Hana ya kuja bongo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mange anavyompenda huyu mama, ona sasa hawezi kuja tz hata kumzika mtu alompenda maisha yake yote.hiyo ni kwa sababu ya siasa alizozifanya huko nyuma bado zinamwandama.

Jpm ndo alisema alikuwa mbaya wake na sasa hivi jpm hayupo tena ila mange alivyoulizwa kama atakuja mazishini, alisema haji anaogopa, najiuliza anaogopa nini? Na sifa anazozimimina awamu hii ya utawala bora? angekuja tu?

Nadhani jana mange niliumia sana kuliko siku zote.maana inaonekana kweli walipendana sana ila ndo hiyo aliishia kuona ndege ikipaa.

Ili uwe salama kaa mbali na siasa kufatilia fatilia hawa wanasiasa sio ishu.
Rip mwele.
Huyu mtu kaacha Mzazi mzee ambaye angependa yeye ndio azikwe na mtoto wake. Hapo ongeza na ndugu zake wa damu. Kwanini unamuona Mange ni muhimu sana kwenye hili?! Naona hilo uliloshauri la kufuatilia watu hata wewe pia ni mdau, ila wewe unamfuatilia huyo Mange.
 
Mange anavyompenda huyu mama, ona sasa hawezi kuja tz hata kumzika mtu alompenda maisha yake yote.hiyo ni kwa sababu ya siasa alizozifanya huko nyuma bado zinamwandama.

Jpm ndo alisema alikuwa mbaya wake na sasa hivi jpm hayupo tena ila mange alivyoulizwa kama atakuja mazishini, alisema haji anaogopa, najiuliza anaogopa nini? Na sifa anazozimimina awamu hii ya utawala bora? angekuja tu?

Nadhani jana mange niliumia sana kuliko siku zote.maana inaonekana kweli walipendana sana ila ndo hiyo aliishia kuona ndege ikipaa.

Ili uwe salama kaa mbali na siasa kufatilia fatilia hawa wanasiasa sio ishu.
Rip mwele.
Mange ni mpumbavu fulani.
 
View attachment 2123505View attachment 2123506
Mwili wa marehemu Dr Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM.

Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni.

Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa mzee Samwel Malecela ambapo sala fupi zilifanyika.

Mzee Abdulrahman Kinana aliyekuwa Katibu Mkuu CCM na Mama Kate Kamba Mwenyekiti wa CCM DSM, walishiriki misa hiyo fupi ya kuupokea mwili nyumbani kwa mzee Malecela.
Huyo ni hasara ya taifa bora alivyo kufa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95] RIH DOCTOR
 
Back
Top Bottom