masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #61
Mtafika ahera mmechoka sana!Ana haki ya kufurahia, acha ujinga wewe. Si kila mtu anapaswa kuhuzunika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafika ahera mmechoka sana!Ana haki ya kufurahia, acha ujinga wewe. Si kila mtu anapaswa kuhuzunika
Ninawaza sana ukaribu wake na Mange.
Huku mange akiichana serikali na watu wake that educated woman aliwezaje kuwa naye, unless otherwise iwe ile ya ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Na je hakuwa na mtoto ?
Ni vema wanafiki wote walioshangilia kutumbuliwa kwake kwenye lile sakata la Zika wakajitenga na msiba huo .
Sikujua before, but nimewaza age wise ni kama tofauti kubwaHivi wewe hujui marehemu alikua mama yake Mange ? (Kambo)
Mbona Samia kipenzi wa Mange ?Nani anaweza kuwa na mke mwenye urafiki na ukaribu na mange?
Huyo mama pamoja na kuwa na PhD Ila alikua bogus
Na huyo Mwele mwenyewe hakumkemea Mange?Hata mjomba wake lemutuz ile picha alopostig insta naiwaza bila majibu.
Lemutuz na mwale damu moja sasa mwele aliwezaje kuona hiyo picha ikiwa mtandaoni mange akimchafua ndugu yake wa damu? Kweli yapo mengi yanayomfanya mange asije tz.
Mamako tu kule kijijini hamjuiHiyo ni fanilia ya watanzania na sio wanyarwanda yakupasa uelewe
Duh.. poleni jamani?....Hivi na yeye ni Corona???Mwili wa marehemu Dr Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM.
Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni.
Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa mzee Samwel Malecela ambapo sala fupi zilifanyika.
Mzee Abdulrahman Kinana aliyekuwa Katibu Mkuu CCM na Mama Kate Kamba Mwenyekiti wa CCM DSM, walishiriki misa hiyo fupi ya kuupokea mwili nyumbani kwa mzee Malecela.
Vipi kuhusu mamako? Unakumbuka ulivyokuwa unalamba masaburi ya mzilankende? Hopefully mamako alikuwa anajulikana na ile familia. Na hata sasa yupo ubavuni akiendelea kuomboleza
RIPMwili wa marehemu Dr Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM.
Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni.
Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa mzee Samwel Malecela ambapo sala fupi zilifanyika.
Mzee Abdulrahman Kinana aliyekuwa Katibu Mkuu CCM na Mama Kate Kamba Mwenyekiti wa CCM DSM, walishiriki misa hiyo fupi ya kuupokea mwili nyumbani kwa mzee Malecela.
Lemutuz ni bogus. Kwanza ni mtoto wa nje ya ndoa. Hata kwenye huu msiba hata usemaji wa familia si yeye. Yaani hata hajapewa kipaumbele maana ni bogus.Mmm mange na lemutuz walitifuana ila its like huyu mama alikuwa upande wa mange wakati kemutiz ni ndugu yake
La muoneeni huruma jamani,yule ndio chuma ulete wa familia bila yeye mambo hayaendi,kila familia ya kitanzania haikosagi mtu dizaini yakeLemutuz ni bogus. Kwanza ni mtoto wa nje ya ndoa. Hata kwenye huu msiba hata usemaji wa familia si yeye. Yaani hata hajapewa kipaumbele maana ni bogus.
Ukiachana na yote sijajua ni umarekani mwingi au la,ila huu msiba inaoneka haujamgusa kabisa yani Le Mutuz anaonekana yupo bize kupigaa picha na kupost instagram tu.Lemutuz ni bogus. Kwanza ni mtoto wa nje ya ndoa. Hata kwenye huu msiba hata usemaji wa familia si yeye. Yaani hata hajapewa kipaumbele maana ni bogus.
Akikujibu nistueMbona Samia kipenzi wa Mange ?
Hawana connection. Lemutuz mtoto wa nje ya ndoa. Na Lemutuz ni kilaza. Watoto wa John na Ezerina Malecela wote ni smart.Ukiachana na yote sijajua ni umarekani mwingi au la,ila huu msiba inaoneka haujamgusa kabisa yani Le Mutuz anaonekana yupo bize kupigaa picha na kupost instagram tu.
Huyo mama alikua bogus, angekua na akili timamu asingekuwa anaendeshwa na mangeNinawaza sana ukaribu wake na Mange.
Huku mange akiichana serikali na watu wake that educated woman aliwezaje kuwa naye, unless otherwise iwe ile ya ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Na je hakuwa na mtoto ?
Kama alikua bogus lazima tuseme, huwezi kuwa na akili timamu ukaendeshwa na mangeMkuu marehemu hasemwi kwa ubaya kumbuka hawezi kukujibu ulichoandika wala hawezi kujitetea.
Umeumia? Huyo alikua bogus tu. Umia tenaPumbavu