Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Mange anavyompenda huyu mama, ona sasa hawezi kuja Tanzania hata kumzika mtu alompenda maisha yake yote.hiyo ni kwa sababu ya siasa alizozifanya huko nyuma bado zinamwandama.

Jpm ndo alisema alikuwa mbaya wake na sasa hivi JPM hayupo tena ila Mange alivyoulizwa kama atakuja mazishini, alisema haji anaogopa, najiuliza anaogopa nini? Na sifa anazozimimina awamu hii ya utawala bora? angekuja tu?

Nadhani jana mange niliumia sana kuliko siku zote.maana inaonekana kweli walipendana sana ila ndo hiyo aliishia kuona ndege ikipaa.

Ili uwe salama kaa mbali na siasa kufatilia fatilia hawa wanasiasa sio ishu.
Rip mwele.
HANA NAULI PERIOD ANAJITETEA TU
 
Ni vema wanafiki wote walioshangilia kutumbuliwa kwake kwenye lile sakata la Zika wakajitenga na msiba huo .

Kutumbuliwa na kufa hakuna uhusiano.
Mfano mimi nilifanya sherehe. Lkn alivyokufa nimehuzunika.
 
Lemutuz ni bogus. Kwanza ni mtoto wa nje ya ndoa. Hata kwenye huu msiba hata usemaji wa familia si yeye. Yaani hata hajapewa kipaumbele maana ni bogus.

Kwa hiyo kosa la lemutuz ni kuwa mtoto wa nje ya ndoa?

Yeye amehusikaje hapo??
 
Familia wangekuwa wanapewa uhuru wa kuchangua. Nadhani kwenye hii familia apendwe zaidi nani na Mungu asingekuwa huyo mama ( Faida) wa kimataifa. Pole Mzee Malecela na wanafamilia wengine. Hivi Le Mutuz yupo nchini?
ulitaka achaguliwe lemutz atangulie
 
Mmm mange na lemutuz walitifuana ila its like huyu mama alikuwa upande wa mange wakati kemutiz ni ndugu yake
Lemutuz ni mtoto wa nje wa Malecela, hajawahi ishi kwnye hilo jumba wala kuwa part ya familia toka wakishi Oysterbay na Upanga hata huko Ubalozini , sidhani kama wako naye kikaka kivile, si umeona leo pale Lemutuz hakuwepo pale Familia ilipo simama mbele ya jeneza ,walikua wa toto tuu wa mama wa kina Seche,Ippy ,Mwendwa ana wale wengine . Pia Marehemu na Mange ni mu na mwanae mlezi, sio rahisi kwa marehemu kumtupa Mange sababu ana kashifu watu na ukimsikiliza mange amesema sana kwamba marehemu alikua an amshauri ila yeye akawa ana fanya hayo bila kibali cha Marehemu .
 
Dah ila kwa nini wamtenge lemutuz akili kubwa,ninejisikia vibaya sana
 
Back
Top Bottom