masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #101
Kifo kwa binadamu anayependa demokrasia, kiko very democratic.Ataanza huyo aliyetangulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo kwa binadamu anayependa demokrasia, kiko very democratic.Ataanza huyo aliyetangulia
Alijazwa chuki na wapambe ambao wanajulikana.Nimesikiliza wasifu na SIFA za marehumu, najiuliza JIWE alimuonaje HAFAI?
Hakuwa na mme wala mtoto wa kuzaa mwenyewe. Bali aliadopt watoto watatu na mmoja (Mary)alishatangulia mbele ya haki. Hivyo kaacha watoto wawili.
Mwenye kosa ni Mzee John Malecela kumtenga katika familia mtoto wa ujana wake akiwa DO Mbeya!!!Dah ila kwa nini wamtenge lemutuz akili kubwa,ninejisikia vibaya sana
Dah sio haki kabisaMwenye kosa ni Mzee John Malecela kumtenga katika familia mtoto wa ujana wake akiwa DO Mbeya!!!
Jiwe hakumpemda sababu alijua ana ukaribu na Mange naona hii ndio ilikuwa sababu kuuNimesikiliza wasifu na SIFA za marehumu, najiuliza JIWE alimuonaje HAFAI?
Itakua hakuishi na Baba yake tokea utotoni ndo maana watoto wa ndoa wa malecela wapo na positions kubwa kielimu kimaisha. Sasa akajikuta anakua chawa wa Makonda. Makonda hana cheo Lemutuz anashindwa hata kujipendekeza tena kwa kina Nape maana aliwaona mavi.Kwa hiyo kosa la lemutuz ni kuwa mtoto wa nje ya ndoa?
Yeye amehusikaje hapo??
Mwele ni smart sana. Hakuwahi kuendeshwa na Mange.Huyo mwele hakua smart. Ila wengine walikua smart
Huwezi kuwa smart ukaendeshwa na mange
Ngoja wanasaccos waje, huyo shujaa wao wa maandamano ya April 26!Mange ni mpumbavu fulani.
Wewe ndo bogus unayesema alikuwa na PhD.Nani anaweza kuwa na mke mwenye urafiki na ukaribu na mange?
Huyo mama pamoja na kuwa na PhD Ila alikua bogus
Kila aliyetia mguu kugombea urais 2015 alibaki Kwa the greatest enemies wa Magufuli. Yaani wote aliwakomesha.Nimesikiliza wasifu na SIFA za marehumu, najiuliza JIWE alimuonaje HAFAI?
Ila mange ni shetani, Dr Mwele alikiwa small house ya mzee kimbambi, mange baada ya mambo kumwendea ndivyo sivyo akakimbilia kulelewa na Mwele.Ninawaza sana ukaribu wake na Mange.
Huku mange akiichana serikali na watu wake that educated woman aliwezaje kuwa naye, unless otherwise iwe ile ya ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Na je hakuwa na mtoto ?
Wewe hovyo kabisa, mange ni mwanaccm?Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Mange ni mwanaccm aliyetumwa kumtukana Magufuli , sasa kama ulikuwa hujui , basi jua kuanzia leoWewe hovyo kabisa, mange ni mwanaccm?
Nyie nyumbu mlimtosa kwenye maandamano yenu ya April 26 akaishia kuaibika akawaona chadema hovyo kabisa leo unamhusishaje na CCM?
hivi alipata muda ku regret kwa kusanifu kifo Cha mwenzie!!??, na Allah alivyo fundi ,interval haijafika hata mwaka,na yy ka r.i.p. tuliosalia tujifunze kitu.Ni vema wanafiki wote walioshangilia kutumbuliwa kwake kwenye lile sakata la Zika wakajitenga na msiba huo .
Kufa ni kufa tu,Kifo kwa binadamu anayependa demokrasia, kiko very democratic.
Acha dharau za kitoto mkuu. Mange ni binadamu mwenye akili pengine kunizidi mimi na wewe.Kama alikua bogus lazima tuseme, huwezi kuwa na akili timamu ukaendeshwa na mange
Mara moja moja ficha ujinga wako, mtu kapata PhD tokea 1995, wewe unaleta story za sijui daktari wa binadamu.Wewe ndo bogus unayesema alikuwa na PhD.
Alikuwa Dr wa binadamu.
Mange ana akili kukuzidi wewe mpumbavu na ndio maana hata kuandika PhD hujui.Acha dharau za kitoto mkuu. Mange ni binadamu mwenye akili pengine kunizidi mimi na wewe.
Hayati JPM alikuwa na PHD, Hayati Mwele pia alikuwa na PHD na JPM alibania akidhani anamkomoa kumbe riziki kama ipo hata ufanye nini ipo tu.
Mpuuzi wewe huu ni uzi wa huzuni jaribu kuheshimu wafiwa kama una akili iliyokomaa.Mange ana akili kukuzidi wewe mpumbavu na ndio maana hata kuandika PhD hujui.
Vutu lako