Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Kwa hiyo kosa la lemutuz ni kuwa mtoto wa nje ya ndoa?

Yeye amehusikaje hapo??
Itakua hakuishi na Baba yake tokea utotoni ndo maana watoto wa ndoa wa malecela wapo na positions kubwa kielimu kimaisha. Sasa akajikuta anakua chawa wa Makonda. Makonda hana cheo Lemutuz anashindwa hata kujipendekeza tena kwa kina Nape maana aliwaona mavi.
 
Ninawaza sana ukaribu wake na Mange.

Huku mange akiichana serikali na watu wake that educated woman aliwezaje kuwa naye, unless otherwise iwe ile ya ndege wa rangi moja huruka pamoja.

Na je hakuwa na mtoto ?
Ila mange ni shetani, Dr Mwele alikiwa small house ya mzee kimbambi, mange baada ya mambo kumwendea ndivyo sivyo akakimbilia kulelewa na Mwele.
Cha ajabu akagombana na kaka yake Mwele, le mutuz, mange akatuma rafiki yake mamluki akagegedwe na le mutuz ila ampige picha kuonesha kiba100 Cha le mutuz. Mange akaisambaza ile clip le mutuz akaishia kugugumia maana Hadi dada yake Mwele atakuwa aliiona.
Mange ni shetani.
 
Ni vema wanafiki wote walioshangilia kutumbuliwa kwake kwenye lile sakata la Zika wakajitenga na msiba huo .
hivi alipata muda ku regret kwa kusanifu kifo Cha mwenzie!!??, na Allah alivyo fundi ,interval haijafika hata mwaka,na yy ka r.i.p. tuliosalia tujifunze kitu.
 
Kama alikua bogus lazima tuseme, huwezi kuwa na akili timamu ukaendeshwa na mange
Acha dharau za kitoto mkuu. Mange ni binadamu mwenye akili pengine kunizidi mimi na wewe.

Hayati JPM alikuwa na PHD, Hayati Mwele pia alikuwa na PHD na JPM alibania akidhani anamkomoa kumbe riziki kama ipo hata ufanye nini ipo tu.
 
Wewe ndo bogus unayesema alikuwa na PhD.
Alikuwa Dr wa binadamu.
Mara moja moja ficha ujinga wako, mtu kapata PhD tokea 1995, wewe unaleta story za sijui daktari wa binadamu.
Screenshot_20220219-213024_1.jpg
 
Acha dharau za kitoto mkuu. Mange ni binadamu mwenye akili pengine kunizidi mimi na wewe.

Hayati JPM alikuwa na PHD, Hayati Mwele pia alikuwa na PHD na JPM alibania akidhani anamkomoa kumbe riziki kama ipo hata ufanye nini ipo tu.
Mange ana akili kukuzidi wewe mpumbavu na ndio maana hata kuandika PhD hujui.
Vutu lako
 
Back
Top Bottom