Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Ninawaza sana ukaribu wake na Mange.

Huku mange akiichana serikali na watu wake that educated woman aliwezaje kuwa naye, unless otherwise iwe ile ya ndege wa rangi moja huruka pamoja.

Na je hakuwa na mtoto ?

Hivi wewe hujui marehemu alikua mama yake Mange ? (Kambo)
 
Hata mjomba wake lemutuz ile picha alopostig insta naiwaza bila majibu.

Lemutuz na mwale damu moja sasa mwele aliwezaje kuona hiyo picha ikiwa mtandaoni mange akimchafua ndugu yake wa damu? Kweli yapo mengi yanayomfanya mange asije tz.
Na huyo Mwele mwenyewe hakumkemea Mange?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mwili wa marehemu Dr Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM.

Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni.

Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa mzee Samwel Malecela ambapo sala fupi zilifanyika.

Mzee Abdulrahman Kinana aliyekuwa Katibu Mkuu CCM na Mama Kate Kamba Mwenyekiti wa CCM DSM, walishiriki misa hiyo fupi ya kuupokea mwili nyumbani kwa mzee Malecela.
Duh.. poleni jamani?....Hivi na yeye ni Corona???
 
RIP
 
Lemutuz ni bogus. Kwanza ni mtoto wa nje ya ndoa. Hata kwenye huu msiba hata usemaji wa familia si yeye. Yaani hata hajapewa kipaumbele maana ni bogus.
Ukiachana na yote sijajua ni umarekani mwingi au la,ila huu msiba inaoneka haujamgusa kabisa yani Le Mutuz anaonekana yupo bize kupigaa picha na kupost instagram tu.
 
Hawana connection. Lemutuz mtoto wa nje ya ndoa. Na Lemutuz ni kilaza. Watoto wa John na Ezerina Malecela wote ni smart.
 
Ninawaza sana ukaribu wake na Mange.

Huku mange akiichana serikali na watu wake that educated woman aliwezaje kuwa naye, unless otherwise iwe ile ya ndege wa rangi moja huruka pamoja.

Na je hakuwa na mtoto ?
Huyo mama alikua bogus, angekua na akili timamu asingekuwa anaendeshwa na mange
 
Back
Top Bottom