reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu wakati mwingine kumbe hata nauli Hana ya kuja bongo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu wakati mwingine kumbe hata nauli Hana ya kuja bongo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Basi mwele alikuwa wale waleHapo ndo sielewi kwaji ile pic ya kibamia hukuiona?
Alipooza. Alistaafu sababu ya kuugua. Yaani dunia hii jamani acha tuJamani Judge Mwendwa alipatwa na nini mpaka yupo kwenye wheel chair?nimeona aliomba kustaafu kipindi cha jiwe,what happened to her?
Oooh jamani yaani nimeona picha yake akiwa anaapa alifanana sana na Mwele,she was cute and so strong,jamani maradhi haya!Mungu amsaidie na kumpa nguvu,alikua mzima kabisa.Alipooza. Alistaafu sababu ya kuugua. Yaani dunia hii jamani acha tu
Yaani inasikitisha. Ila ana mme bora sana. Mmewe yupo nae muda wote. Kweli katika uzima ama katika magonjwa.Oooh jamani yaani nimeona picha yake akiwa anaapa alifanana sana na Mwele,she was cute and so strong,jamani maradhi haya!Mungu amsaidie na kumpa nguvu,alikua mzima kabisa.
Yaani maisha hayatabiriki kabisa zama hizi,ni kumuomba Mungu tu,dunia ina changamoto nyingi,majaribu na husda za wanadamu.Yaani inasikitisha. Ila ana mme bora sana. Mmewe yupo nae muda wote. Kweli katika uzima ama katika magonjwa.
Huyo muungwana kachanganyikiwa, jana kichwa chake kilikuwa kimemchafuka kama choo kibovu.haha yani wewe, Mange mwenzio ana Masters hapo alipo, wewe una nini ?, acheni kuowaita majina mabaya wengine nanyi msiitwe, uko ka jinga flani hivi , hebu pitia comment zako ujione ulivo hayawani.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Kabudi pamoja na kua na elimu kasaidia nini nchi?hilo bwana ni useless halina faida yeyote zaidi ya ufisadiMkuu punguza dharau, angekuwa na kama ya Hemed asingekuwa na maono ya kujenga bwawa la JNHPP wala asingeifikisha nchi hii uchumi wa kati wa chini.
Ameonyesha picha mbaya sana sana hata km hamuelewani angeekti tuu.William mjinga hata kwenda kumzika dada yake hakwenda.
Aisee wewe ni mtoto wa town. Big upAna watoto wapo New York na mama yao. Mkewe (Neema Ngwilulupi) walishaachana.Le mutuz akili zake anazijua mwenyewe.
Ippy sio Lemutuz, Lemutuz ni anaitwa William, yeye ni mkubwa kwa Ippy ila ni wa mama mwingine, yani sio mtoto wa kwnye ndoa .Ippy ana kaka yake mkubwa ambaye ayo alifariki kwa ajali miaka ya 80 hukoIppy si marehemu kitambo
Halafu alivyoishia kuwa chawa wa Bashite hapo ndo nilimwona bogus. Hivi sasa anaweza kumface Nape kweli ?
Utakuwa na jambo lako na Lemutuz. Ila kwenye ukilaza hayupo kabisa. Usiwe too judgmental mpaka ukasahau small details. Au akili kwako Ni kuwa dr.
Mimi ningeweza kusema Ni mtu asiyependa kuambiwa ukweli ila BOGUS no. Ana akili sana na anajua kucheza na watz wa Sasa kuliko unavyofikiria.
Lemutuz ni mtoto wa nje wa Malecela, hajawahi ishi kwnye hilo jumba wala kuwa part ya familia toka wakishi Oysterbay na Upanga hata huko Ubalozini , sidhani kama wako naye kikaka kivile, si umeona leo pale Lemutuz hakuwepo pale Familia ilipo simama mbele ya jeneza ,walikua wa toto tuu wa mama wa kina Seche,Ippy ,Mwendwa ana wale wengine . Pia Marehemu na Mange ni mu na mwanae mlezi, sio rahisi kwa marehemu kumtupa Mange sababu ana kashifu watu na ukimsikiliza mange amesema sana kwamba marehemu alikua an amshauri ila yeye akawa ana fanya hayo bila kibali cha Marehemu .
Sijui wewe ndiye Mange maana katika bandiko la awali ulijisahau ukasema "Nimeumia sana ......" . Hata hivyo wasiwasi wangu ni kutokuona matusi makali ya nguoni ambayo hata SHWEITANI anaogopa na kutetemeka akiyasikia.Nauli anayo.hawezi kosa nauli sema anacho kiogopa anakijua mwenyewe
Huyu Lemutu Naona familia haipendi matendo yake. MTU anakuwa na familia mke na watoto lakini inafanya uchafu hadharani na mabinti 'zake'. Hatukatai angefanya hata na mbwa lakini sio hadharani. Anadhalilisha mabintize. Mama Hana shida alishaachana nae lakini watoto wanaumia. Lemutu Kua Baba.Binti ya Lemutuz aitwae Noela katoka New York Amerika kuja kumzika shangazi yake. Le mutuz kashindwa kweli ?
Hujanielewa nilimjibu mtu kua ippy ni marehemu kitambo sana,najua wakiume kabaki baharia le mutuzIppy sio Lemutuz, Lemutuz ni anaitwa William, yeye ni mkubwa kwa Ippy ila ni wa mama mwingine, yani sio mtoto wa kwnye ndoa .Ippy ana kaka yake mkubwa ambaye ayo alifariki kwa ajali miaka ya 80 huko
Alikufa akiwa anagombea uenyekiti uvccm na emanuel nchimbiIppy kafa inafika miaka 20 sasa acha uwongo lemutuz alikimbilia marekani huko kaishi zaidi ya miaka 30 karudi bongo alifikia kwa baba yake...
kaja kua mpambe wa watu wenye vyeo