"Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

hii sasa ni dharau bora zifukuliwe
 
Dah hii movie nzuri sana aseeee ngoja ninunue data bundle la mwezi maana dah fulu interesting
 
Ni muhimu kujua kwa nini ziliwekwa hela kaburini.Wanaweza kufukua kaburi wakute makaratasi tu.Hela nyingine ni za miujiza siyo pesa halali.Ni viini macho tu.
 
Biashara ya viungo vya biandamu SA sasa imekuwa mpaka ya kuuza miili ya watu ili kypoteza ushaidi.
Anyway ni mawazo tu ya mwendawazimu,na hii inathibitisha ya kwa Sisi Wafrika si watu wa kuamini amini sana.
 
Kitu nilichojifunza katika msiba huu ni kuwa sikuwahi kuwaza kama Waganda wanatuzidi kwa UNAFIKI, UJINGA na UZUSHI uliokithiri[emoji15]!!sikuwahi kuwaza kama Waganda ni waongo kiasi hiki!?

Yaani msiba wa Ivan waganda wameufanya biashara kubwaa!!wanaandika uongo wote ili mradi tu magazeti yanunuliwe na blogs zao zisomwe!!so sad yaani!!
Hiyo picha ni photoshoot tu!ila walivyoikomalia utadhani ni habari za ukweli!!na wabongo sisi Uongo ukiandikwa kwa Kiingereza tu basi unakuwa ukweli asilimia 100%!!!Ukitaka kumdanganya Mtanzania basi mwandikie Habari kwa kiingereza na uweke na viasilimia hapo basi wee atakuamini kwa asilimia zooote
 
Uwongo! Wakenya ndiyo wanapenda kuamini vitu vilivyo andikwa in English! Waswahili sisi ni watu wa kujiamini na tuna hekima na busara!
 
Uwongo! Wakenya ndiyo wanapenda kuamini vitu vilivyo andikwa in English! Waswahili sisi ni watu wa kujiamini na tuna hekima na busara!
 
Nilimwambia mtu mmoja hapa hizo fedha ztafukuliwa kwa amri ya mahakama. Ninachoshindwa kufahamu ni km hawa waliofikia uamuzi wa kumzika Ivan na fedha hawakujua kama hili jambo halikubaliki? Just a such a simple mind hawakujua?
zimemwagiwa shampaigne sijui zitakua salama......
 
In fact picha nyingi zinaonyesha wakicheka. Hadi kuna video wanakemewa kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…