Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Mkuu ulivyowaangalia wale undhani walikua timamu. Too much plastic life pale. Just kuonyesha Don kaenda. Uganda huwaga washambawashamba sana. Ndo maana Jack Pemba anawanyoosha ile ngumuNilimwambia mtu mmoja hapa hizo fedha ztafukuliwa kwa amri ya mahakama. Ninachoshindwa kufahamu ni km hawa waliofikia uamuzi wa kumzika Ivan na fedha hawakujua kama hili jambo halikubaliki? Just a such a simple mind hawakujua?
Maajabu ni hao Interpol ambao hawakumkamata mtu akiwa mzima huko SA,hawakumkamata akiwa hospital na alipolazwa panajulikana wakamwacha akasafirishwa hadi uganda wamesubiri amezikwa ndio wanaanza kumtafutaWhy did they wait for his burial to end?? Upuuzi at work..
Ulitaka asiwe normal, aweje?Let's wait and see what will happen.. Maana nasikia Uganda hata ndugu hawajaona mwili wa Jamaa... Na inshu ya hospital na mambo yote yalivyokuwa anajua Zari na King Laurence tu pmj na madokta nyuma ya pazia.. Nimeangalia interview ya zari na millardayo daaa... Yupo normal bibiee anakimbana na mengi sana.. Ila nadhan kuna jambo..
hakuna mtz mwenye passport mbili tofauti labda fake,Tz haijaruhusu uraia wa nchi mbiliHakubadili dini,Ali senyongo ndo ilikuwa identity yake kwenye shughuli za uganga huko south africa,akienda labda Uganda anatumia passport ya Ivan ni kama wale wabongo wenye passport za nchi mbili wanavyofanyaga.
soma uelewe ndugu ,haijaruhusu ndo maana watu wengi wanafanya style hiyo..kuna kigogo mmoja wa radio na tv hapa bongo anao uraia wa marekani an bongo,kuna mbunge wa upinzani machachari pia usa na bongo,kuna naibu waziri wa wizara nyeti Uk na bongo tena yeye alishawahi hadi kuombaga ukimbizi Uk..the list goes on and onhakuna mtz mwenye passport mbili tofauti labda fake,Tz haijaruhusu uraia wa nchi mbili
Hy inahusu kufukua na kutoa pesa alizozikwa nazo wakati bado zipo kwenye mzungukoKimenuka tayari....
Ni kweli kwasababu wengi wetu wameamini hiyo Application hapo inahusu Fake ID wakati inahusu Pesa zilizozikwa!!na bado mpaka sasa wanaendelea kuamini uongo wa hao waganda[emoji23]Uwongo! Wakenya ndiyo wanapenda kuamini vitu vilivyo andikwa in English! Waswahili sisi ni watu wa kujiamini na tuna hekima na busara!
alizitafuta mwenyewe wacha azilaliehii sasa ni dharau bora zifukuliwe
hiyo kitu ilinistua hata mimi actually kuna picha kabisa kanisani wanacheka..
Watakuwa wamekumbuka shuka asubuhi 'All in all it is said there is no secret under the sun'Maajabu ni hao Interpol ambao hawakumkamata mtu akiwa mzima huko SA,hawakumkamata akiwa hospital na alipolazwa panajulikana wakamwacha akasafirishwa hadi uganda wamesubiri amezikwa ndio wanaanza kumtafuta
Mi naona aliyepaniki ni wewe haaaaa haaaa jamaa kakujibu vzr kweliMbona unapaniki. Kama wewe ni muandishi ambaye haijifanyi haikuhusu.