Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Hahahaaa, labda !Au report ya chande umeanza kufanyiwa kazi?
Kisa mtu 1.....atawale kwa ncha upanga wengine wafe tuu jamanii aibu na dhambi kubwaaaqKwani James Temba alikuwa anajishughulisha na Nini?