Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

Hao walugaluga wa maporini waliovamia mijini na vilugha vyao haibadilishi kitu ni kuwa mimbulula kama kama wewe hauna tofauti nao, kulopolopo sana kwa kuwa fuvu zimejaa mavi,
JITATHIMINI.
 
JITATHIMINI.
Sihitaji kuthaminishwa na vilaza waporipori na walugaluga wa vijijini
Ninajitambua nimesoma na nina elimu kuwazidi, kuanzia elimu niliyosoma, thamani ya elimu kwenye nchi niliyosomea na kiwango cha elimu nilichosoma, sehemu duniani nilizowahi kuishi na kuzunguka na maisha ninayoishi kwa sasa havitalingana na hao vilaza walugaluga wa maporini.
 
Sihitaji kuthaminishwa na vilaza waporipori na walugaluga wa vijijini
Ninajitambua nimesoma na nina elimu kuwazidi, kuanzia elimu niliyosoma, thamani ya elimu kwenye nchi niliyosomea na kiwango cha elimu nilichosoma, sehemu duniani nilizowahi kuishi na kuzunguka na maisha ninayoishi kwa sasa havitalingana na hao vilaza walugaluga wa maporini.
Sawa sawa mkuu.
 
Huyo kauwawa kikatili sana pengine alikuwa anashirikiana na watu wa mfumo fulani akakosa koromeo wakapita nae alafu wakamexpose ili wenzake wajifunze na kichwa kipelekwe site waone adhabu ya mwenzao? Au kisasi ndani ya family, au alikuwa na mambo yake binafsi, kama ni jambazi hawawezi muua kikatili ivo unauliwa kikawaida uantupwa uko ,mi najiuliza ukimuua mtu lengo ni kumpa maumivu ambayo hayasikii yeye bali waliomzunguka ndo wataumia, au unamueliminate kama threats kwako au mnaviziana ,nikiwa nchi fulani inasifika kwa umafia nilikuwa namarafiki kazi zao nyeusi i yani wao kuua ni kazi yao mmoja akaniuliza unaijua raha ya kuua? Nikamjibu hapana akanambia unaonaje siku uue mtu nikamuuliza ntamuua nani wakati sioni wa kumuua kwa sababu yoyote?

Akanijibu upo sahihi we kuua unaweza ila hujapata sababu ila ukipata sababu au ukipewa pesa na sababu unaweza kufanya ivo bila tatizo , akaniambia ukiona mtu ameuwawa kikatilii sanaa hao waliofanya ivo walikuwa na kisa nae direct hawajatumwa na wakimuexpose wanataka kutuma ujumbe pia kwa wenzake, akanimbia wao wanatumwa kazi k...ua tu muda wa kufanya ukatili hawana akifika ni chuma moja imetoka ye hayupo(eliminate the threat) kama ni kufanya na ukatili wao hwafanyi na ikiwabidi basi price inakuwa triple, nchi hizi za mamafia kuuana ni jambo la kawaida kiasi kwamba kamwe usimtishie bunduki.
 
We Kumah Ina mana hujasoma habari? Kwamba unajifanya hujasoma taarifa ...huyo alikua mwanafunzi wa ifm chuo.
Ulikuwa na haja ya kumtukana jamaa!? Mbona alichouliza kipo straight foward na ni ishu ndogo tu kama hufahamu utulie mkubwa!?
 
Tatizo la sisi watanzania bado tunaendesha nchi kisiasa, wenzetu wametoka kuendesha nchi kisisasa wanatumia science

Nchi zote zikizoendelea science ndio inaongoza nchi sio Siasa.
Science ipi hiyo inayoongoza nchi na sio siasa?...
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Science ipi hiyo inayoongoza nchi na sio siasa?...
We ukiangalia nchi zilizoendelea mipanho inapangwa na
Science ipi hiyo inayoongoza nchi na sio siasa?...

Science ipi hiyo inayoongoza nchi na sio siasa?...
Ukiangalia nchi kama china na singapore, western countries (europe),
Viongozi wao wengi ni wale wasomi wa masomo ya sayansi, lakini wamejaribu sana kubalance matumizi ya kitaalamu na ushauri wa wataalamu kwenye kufanya maamuzi mengi ya nchi kuliko just pure politician.

Ndio maaana leo singapore ipo ilipo na tanzania ipo ilipo japokuwa tuliwahi kuwa sawa na hata viongozi wake waliku watu wa karibu sana.

Mfano haya yanayotokea Tz kwa sasa unaweza kuyalezea vipi, ni nini yaani..??

Siasa zimejaa porojo na ndio tegemeo letu kutatua kila tatizo tunalokutana nalo, hakuna nafasi ya utalaamu kutumika kutatua matatizo yetu.

Mfano hai, wakuu wa mikoandio wanatatua matatizo ya Ndoa migogoro ya ardhi, vitu vya kisheria vijibiwa na wanasiasa.
Ndio maana matataizo yetu hayafiki mwisho.
 
Dogo ameuliwa kinyama sana, siku moja familia wapate haki yao
 
Back
Top Bottom