Na kinacho watesa waafrika ni kuishia kusema dhambi huku mkiendelee kupukutika,Kisa mtu 1.....atawale kwa ncha upanga wengine wafe tuu jamanii aibu na dhambi kubwaaaq
Mwili wa James Temba aliyepotea siku kadhaa umeokotwa katika mto Msimbazi Dar es Salaam ukiwa hauna kichwa.
View attachment 3583281
Wakuu! Huu ukatili umepitiliza,, nini kipo nyuma ya pazia?!
Tunapambana sana kutafuta suluhisho ....wameshika mpini kumbuka hiloNa kinacho watesa waafrika ni kuishia kusema dhambi huku mkiendelee kupukutika,
Na kinacho watesa waafrika ni kuishia kusema dhambi huku mkiendelee kupukutikaKisa mtu 1.....atawale kwa ncha upanga wengine wafe tuu jamanii aibu na dhambi kubwaaaq
Inabidi tutafute na sisi hiyo mipiniHivi unajisikiaje mtu akukosoe umuue ...kisa kukosoa ? Kweli ,? Kwani wewe nani dunia hii ?? Mungu hikosolewa vile vile ....hujisikii kuwa wewe ni shetani? Hutakaa milele hapo kama hutaki kosolewa utoke sio lazima
Tunapambana sana kutafuta suluhisho ....wameshika mpini kumbuka hilo
Jamani..
Ndio watanzania tumekuwa makatili hivyo….?
Whatever he did jamani..
Tukiacha kugeukana na kuuzana tunaweza kuleta mabadiliko chanya....angalia pole pole wamemuuza mchana kweupeNa kinacho watesa waafrika ni kuishia kusema dhambi huku mkiendelee kupukutika
Inabidi tutafute na sisi hiyo mipini
And how many people died in crusade wars to establish Christianity.muslims! islam siyo dini bali ni political ideology kama tu communism, mao aliua 40 million chinese ili tu kudestrroy chinese culture na civilizationa na kuestablish communism in china, stalin aliua mpaka 20 million, sadam husein, gadafi, idi amini, sani abacha wa nigeria were all muslims and communists ...
Wabongo na Wazulu ni watu wenye roho za kikatili kwao kuua wanaona kawaida tu..
Hapo hakuna kiongozi yeyote atasimama kuzungumzia huo ukatili kwa sababu hicho kifo hakimhusu yeye...
Sasa nimeelewa kwanini baadhi ya watu humu wanalidhihaki jina lako makebo kuendana maana sawa na matako/makalio.Naona maswali yamekuwa mengi bila majibu
Tunapelekwapelekwa tu , kila tukiuliza huyu ni nani ? na ametekwa na nani? na ajishughulisha na nini?
Hatupati majibu, wengine wanatukwanwa, yaani tuimbe nyimbo zao wanazotaka ?
Mwanachuo wa mwaka wa Kwanza, chuo cha IFMSio suala la picha tunataka kujua shughuli gani alikuwa anafanya
Hao walugaluga wa maporini waliovamia mijini na vilugha vyao haibadilishi kitu ni kuwa mimbulula kama kama wewe hauna tofauti nao, kulopolopo sana kwa kuwa fuvu zimejaa mavi,Sasa nimeelewa kwanini baadhi ya watu humu wanalidhihaki jina lako makebo kuendana maana sawa na matako/makalio.