Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

We Kumah Ina mana hujasoma habari? Kwamba unajifanya hujasoma taarifa ...huyo alikua mwanafunzi wa ifm chuo.
Kuna connection gani yeye na kutekwa na CCM kama ambavyo watu wanavyodai
 
Waafrika bado hatujawa binadamu kamili, bado tupo kwenye evolution stage. Watanzania ndio tupo mwishoni kabisa mwa hiyo stage.
Matukio kama haya si ya kibinadamu kabisa, lakini kusema yako huku Afrika tu ni kutokujua na kushindwa kufuatilia matukio yanayoendelea mabara mengine.

Nikufahamishe tu kwamba kuna maeneo Afrika na hasa Tanzania tuna afadhali mno. Unyanyasaji wa kijinsia na watoto upo sana Amerika, mauaji ya watoto shuleni kwa silaha za moto upo sana huko nje.

Kuhusudu Wazungu ni ulimbukeni.
 
Je huyu Temba ni nani na alitekwaje?
 
Umeshafika America au una takwimu au umehadithiwa kwnye kijiwe cha alkasusu? Mnajustify mauaji ya kikatili ya watu kirahisi tu kama mbuzi wa kafara tu
 
Back
Top Bottom