Mwili wa Mtu waokotwa kwenye kiroba

Mwili wa Mtu waokotwa kwenye kiroba

Huyu rais ajiuzulu tu.watu wanaanza kuuliwa hovyo na yeye bado yupo ofisini tu.
 
Maskini jpm wetu weee ulisingiziwa kuua sasa huu mwilii inakuwaje? Ukute bado unasingiziwa na wabaua wako?
Rip unforgettable jpm
Na yule Askofu wa Angalikani Mwanza week iliyopita mwili wake uliokotwa kandokando ya ziwa akiwa tayari maiti! Ingekuwa utawala wa Magufuli wangesema sana! Ila kwa vile wanalamba asali kimya!
 
Kiufupi huwezi ukaua mtu usiache ushahidi,, sema hizi nchi zetu hazina watu professional wa ku comb through crime scenes
Mkuu hawawezi kulipa gharama au tuseme hawataki gharama ziongezeke

Wenzetu kesi kama hiyo wanatumwa wapelelezi na police 500 nyumba hadi nyumba, sehemu zitapekuliwa samples zitachukuliwa atajulikana hata kwa DNA la sivyo ndugu

Sasa hapa nani wa kuwatuma wapeleleze kama ni kapuku mimi nani atajali?
Bado tuko nyuma sana kwenye forensics au hakuna fungu la kusimamia
 
Duh!
Watu wameanza tena kutoana roho...
 
Kuna Mtanzania mmoja aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje mara akapewa jina la kachero mbobezi by now yupo chali kisiasa, aliwahi kuja na kauli ya uchawa akisema "... katika utawala huu hutosikia Mtu ametekwa wala kuokotwa kwenye kiroba"

Huko Dodoma; mwili wa mtu uliokotwa ukiwa katika kiroba eneo la jirani na Shule ya Sekondari Jamhuri jijini Dodoma bado haujatambuliwa.


Mwili huo ambao ni wa mwanaume na umekutwa ukiwa umeanza kuharibika bado upo katika chumba cha kuhifadhia maiti ikatika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.

View attachment 2439550
Tumekuwa shwari kwa matukio ya namna hii yaliyokuwa yameshamiri katika awamu ya 5, Nadhania hilo litakuwa ni tukio la kijambazi / ugoni, ngoja tususubiri ripoti ya vyombo vyetu vya kiuchunguzi.
 
Nafasi zinazogombewa sio rahisi kusababisha maafa maana ni nyingi zenye Wajumbe wengi so kushinda is unforecasted.
Labda kauwauwa au katolewa mochiwari "kimkakati" na katiwa kwenye Kiroba ili Utawala wa Samia nao uonekane ni walewale.

Nadhani utakuwa umenielewa.
 
Back
Top Bottom