Mwili wangu huwa unanuka mpaka sina raha ya kuishi

Wewe itakua ulikoshewa mnuka nuka ....jasho la muuza duka
 
Habarini wanafamilia,

Utotoni mwangu nilikuwaga hata sinuki lakini nilivyojiunga na shule ya boarding nikaanza kunuka kuanzia form 2. Basi nimekuwa ninanuka mpaka leo nimeishakuwa mtu mzima na ninategemea kuoa. Kazini kwangu hata kabla sijapishana na mtu basi huyo mtu ataanza kuziba pua na kama yuko mbali basi akiniona tu utamwona anatema mate au kuvuta koromeo la koozi kuashiria kwamba anajiandaa kukabiriana na harufu yangu mbaya.

Nimejitahidi sana mpaka kufikia kuzoea ratiba ya kuoga mara 3 kwa siku lakini wapi, nikioga nina kuwa salama kwa masaa mawili ya mwanzo lakini baada ya hapo ninakuwa kero kwa watu. Harufu mbaya inayowatesa wenzangu mimi siisikii lakini wao inawashinda. Nimekuwa nikiharibu siku za watu kila mara.

Sehemu ambayo nimekuja kugundua kwamba inato harufu hii ni kwenye mapumbu (Samahani kwa kutumia lugha kali lakini sina namna ya kuweka tafsida ya hili neno bila kuharibu maana). Nimekuwa nikiosha sana pumbu zangu usiku, mchana na asubuhi lakini haija saidia. Hakuna mtu duniani anayejitahidi kuoga kama mimi. Kuna ndugu zangu wengine anaweza asioge hata wiki lakini mimi nikioga muda huu baada ya masaa 3 ninanuka balaa. Mimi ni mtu mwembamba tu na wala umbo langu sio kubwa na wala sina mafuta mafuta lakini, hii harufu inaninyima raha ya kuwepo duniani.

Mimi ni mpole ukiniona lakini kiuhalisia mimi nilikuwaga mtundu sana na huu upole wangu wa sasa ni siri yangu, upole wangu ni kwa sababu ninanuka kwa hiyo sina amani ya kujitutumua mbele ya jamii inayo nizunguka. Inanibidi niwe mpooooole na tulivu hata muda mwingine nimekuwa mtu wa ndio mzee, sawa mkuu, ilimradi tu kuharakisha mtu asisimame na mimi kwa muda mrefu akaisikia harufu yangu kali akawa ananikimbia kwenye korido. Marafiki zangu wa kweli ambao tumeishi nao muda mrefu mpaka nimefanya pua zao kuzoea harufu yangu na wala hawaoni kama ninanuka, ukiwauliza watakwambia jinsi mimi nilivyo mtundu, mcheshi na mpenda sifa tena machepele kweli kweli dakika mbili mbele, lakini ni kwa hawa tu ambao kwao mimi sinuki bali ni shujaa na roll model wao pia.

Wadau naombeni msaada sana katika hili ili niweze na mimi kujihisi ni mtu wa kawaida kwa kuondokana na hili tatizo nguli katika maisha yangu.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Pole sana mkuu kwa tatizo hilo. Jitahidi kunywa maji mengi sana. Kuna wengine hii imewasaidia sana kwenye tatizo hilo.
 
Inaweza kabisa kuwa ni matatizo ya kiroho. Waone watumishi wa Mungu waliokoka watakusaidia kwa Jina la YESU. YESU hashindwi kitu na anakupenda pia
 
Umehakikisha hizo Pumbu kama ni zako kweli au zilibadilishwa kimakosa na za Kifaru au Tembo na ndiyo maana hazikupi ushirikiano wa kuwa na harufu nzuri Mkuu?
 
Pole sana. Ila hapo ndo naona uwezo wa Mungu. Wengine sie hata wiki tusipooga au kupiga mswaki wala hatunuki. Namshukuru Mungu kwa baraka hizi. Nawe nakusihi fanya maombi sana isije kuwa uko HB ila umepigwa kipapai
 
Habarini wanafamilia,

Utotoni mwangu nilikuwaga hata sinuki lakini nilivyojiunga na shule ya boarding nikaanza kunuka kuanzia form 2. Basi nimekuwa ninanuka mpaka leo nimeishakuwa mtu mzima na ninategemea kuoa. Kazini kwangu hata kabla sijapishana na mtu basi huyo mtu ataanza kuziba pua na kama yuko mbali basi akiniona tu utamwona anatema mate au kuvuta koromeo la koozi kuashiria kwamba anajiandaa kukabiriana na harufu yangu mbaya.

Nimejitahidi sana mpaka kufikia kuzoea ratiba ya kuoga mara 3 kwa siku lakini wapi, nikioga nina kuwa salama kwa masaa mawili ya mwanzo lakini baada ya hapo ninakuwa kero kwa watu. Harufu mbaya inayowatesa wenzangu mimi siisikii lakini wao inawashinda. Nimekuwa nikiharibu siku za watu kila mara.

Sehemu ambayo nimekuja kugundua kwamba inato harufu hii ni kwenye mapumbu (Samahani kwa kutumia lugha kali lakini sina namna ya kuweka tafsida ya hili neno bila kuharibu maana). Nimekuwa nikiosha sana pumbu zangu usiku, mchana na asubuhi lakini haija saidia. Hakuna mtu duniani anayejitahidi kuoga kama mimi. Kuna ndugu zangu wengine anaweza asioge hata wiki lakini mimi nikioga muda huu baada ya masaa 3 ninanuka balaa. Mimi ni mtu mwembamba tu na wala umbo langu sio kubwa na wala sina mafuta mafuta lakini, hii harufu inaninyima raha ya kuwepo duniani.

Mimi ni mpole ukiniona lakini kiuhalisia mimi nilikuwaga mtundu sana na huu upole wangu wa sasa ni siri yangu, upole wangu ni kwa sababu ninanuka kwa hiyo sina amani ya kujitutumua mbele ya jamii inayo nizunguka. Inanibidi niwe mpooooole na tulivu hata muda mwingine nimekuwa mtu wa ndio mzee, sawa mkuu, ilimradi tu kuharakisha mtu asisimame na mimi kwa muda mrefu akaisikia harufu yangu kali akawa ananikimbia kwenye korido. Marafiki zangu wa kweli ambao tumeishi nao muda mrefu mpaka nimefanya pua zao kuzoea harufu yangu na wala hawaoni kama ninanuka, ukiwauliza watakwambia jinsi mimi nilivyo mtundu, mcheshi na mpenda sifa tena machepele kweli kweli dakika mbili mbele, lakini ni kwa hawa tu ambao kwao mimi sinuki bali ni shujaa na roll model wao pia.

Wadau naombeni msaada sana katika hili ili niweze na mimi kujihisi ni mtu wa kawaida kwa kuondokana na hili tatizo nguli katika maisha yangu.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
nenda kwa Wataalam wa magonjwa ya Ngozi mkuu, lakini pia angalia vizuri isije ikawa ni tatizo ya saikolojia kwa kuwa halafu hiyo bado ipo kichwani kwako hivyo hata kama hunuki lakini akili yako bado inatafsiri unanuka! Jitahidi kutojinusa wala kuzingatia hiyo halafu kwa siku saba tu unatagundua kuwa wala hunuki
 
Pole brother kwa matatizo, japo huwa natatizika na mtu anayeomba ushauri halafu masaa kumi yanapita na harudi aidha kujibu maswali au kushukuru.

Tumesema mara nyingi, JF ni last resolution kwenye mambo ya afya. Inatakiwa uanzie hospitali ili kama hujapona uje uombe ushauri. Japo najua sisi wanaume ni vigumu kwenda hospitali kwa issue kama hiyo.

Nadhani watakuwa bacteria, japo wanaume wengi tukisikia kaharufu kidogo huku chini huwa tunapaka Whitefield ointment na harufu inapotea, japo Whitefield inadeal na fungal infection.

Nenda kwa Daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi na utapona kabisa na harufu itaisha.
 
pakaa limao huko inapotokea harufu kila baada ya kuoga ......utasahau harufu kali
 
Kanunue mafuta ya brakes ndio yawe mafuta yako ikiwezekana hata nguo zako za ndani uzipakaze pakaze mafuta hayo ni dawa bombs Sana yana salicylic acid nzuri kuua bakteria. Wanashauri ukishapaka baada ya dakika kumi usafishe kwa maji ya uvuguvugu make sure umevaa gloves ili usiambukize bakteria sehemu zingine.
 
Kunuka ni serious tatizo kwenye INI!Kazi kubwa ya ini ni ku detoxify mwili na kama ini halifanyi kazi zake vyema binadam atanuka hasa mdomo hata upige kila dakika mswaki na sehemu za siri!Hali huwa mbaya zaidi kwa mwanamke hasa kwenye zile discharge zake
Nenda kwa dr atakuandikia antibiotics itakayo endana na kunywa maji mengi sana kwa siku na utapona!
Unanuka kama Fisi?Ehehehe tunacheka kama vile mazuri mweee
 
Huo ni ugonjwa mkuu! Nenda hospitali.

Mohammed Amiti,

Body odour, med. Bromhidrosis: severe and permanent body odour; diagnosable pathological condition; classified and registered by the WHO
Symptoms: abnormal apocrine or eccrine odour, emanated from the skin, mostly from armpits, genitals, inner tights and scalp
Side- and after-effects: psychological distress; social isolation; contaminated clothes
Recommended treatments:

➊ special disinfectant soaps and washing foams
<p>
➋ prescription antiperspirants if Hyperhidrosis is the cause of eccrine Bromhidrosis
➌ evaluation of possible causes, guided by health professionals; when indicated psychosomatic therapy

Other treatments:

special diet; abstinence (alcohol, nicotine, caffeine, drugs); medications

Competent medical experts:

dermatologist; internist; psychotherapist
Main causes
Excessive secretion from the sweat glands that becomes malodorous on bacterial breakdown is the predominant cause of Bromhidrosis. There are two types of human sweat glands:

  • Eccrine glands are distributed all over the skin. They are responsible for bodily thermoregulation by means of sweat production. They secrete large amounts of salty fluid, which is odourless upon reaching the skin surface.
    <p>
  • Apocrine glands have a limited distribution involving the axilla, genital skin, scalp and breasts. Apocrine glands have no thermoregulatory role but are responsible for characteristic pheromonal odours. They secrete a small amount of oily fluid, which is rather odourless upon reaching the skin surface (most pheromones are not noticeable for human noses).
Indicator for health problems:
Some types of smell may reveal hidden health problems. It is known that if your sweat smells like peroxide (bleach), it may indicate a kidney or liver disease, while fruity body odour often points to diabetes. Also a rare genetic disorder, called TMAU-Syndrome (trimethylaminuria), makes a person produce constant fishy body odor.

Carnal differences:
There is a significally difference between female and male odour. Males will develop much more odour, which has a masculine, strong characteristic because of the dominating testosterone hormone. Women emanate a more sweeter scent which is mostly affected by feminine estrogens. A Swiss study done by researchers in Geneva revealed that women’s body odour contained high levels of sulphur, which together with dermal bacteria produces the chemical compound thiol that has a smell of garlic or onion. According to the study, men’s sweat was found to contain more fatty acids, which when mixed with bacteria from the skin, produces a certain brute smell, resembling cheese.
READ More: Bromhidrosis - excessive body odour (B.O.)
 
Maisha ya boarding huwa yanamengi sana, ulisema ulikuwa mtundu.

Je unakmbuka tukio lolote ulifanya kuumiza mtu au la kumuudhi mtu kabla ya kuanza kuwa hivyo?

Kutokana na sehemu harufu inatoka, vipi kuhusu wasichana maisha yako nao ulitulia tu au?

Pia usali kwasababu ni muhimu sana kuwa na Mola, salia na pia kasaliwe ugonjwa na weka imani utapona.
 
Back
Top Bottom