Mwimbaji Harrysong aoa wanawake 30 ndani ya siku moja

Mwimbaji Harrysong aoa wanawake 30 ndani ya siku moja

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja.

Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye vyombo vya habari, kwa tukio hilo ambalo halijawahi kushuhudiwa.​

iamharrysong-20231113-0001.jpg

Harrysong-and-30-wives-1024x576.jpg
 
Back
Top Bottom