Mwimbaji Harrysong aoa wanawake 30 ndani ya siku moja

Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja.

Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye vyombo vya habari, kwa tukio hilo ambalo halijawahi kushuhudiwa.​

View attachment 2812443

View attachment 2812444
Hapo kila mmoja anaka mchepuko kake maana kwa hii list kugongwa inaweza kuwa mara moja kwa miezi mitatu ukizingatia jamaa ni Msanii anazunguka sana, sasa imagine mmoja awaletee Ukimwi hiyo circle itakavyotembea!!!
 
Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja.

Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye vyombo vya habari, kwa tukio hilo ambalo halijawahi kushuhudiwa.​

View attachment 2812443
View attachment 2812444

Pongezi kwake mimi kama [mention]Xi jiping [/mention] Naona ni jambo jema ! wanaume wengine wa africa tuige hili hasa ukizingatia wanaume wengi saizi wamekua mashoga! Anawasitiri wanawake ambao wangehangaika bila wanaume

Big up kwake kwa kuendeleza tamaduni za kiafrica
 
Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja.

Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye vyombo vya habari, kwa tukio hilo ambalo halijawahi kushuhudiwa.​

View attachment 2812443
View attachment 2812444
Video ya wimbo mpya hiyo.
 
Chai
 
Back
Top Bottom