TANZIA Mwimbaji maarufu kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia

TANZIA Mwimbaji maarufu kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia

Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia

Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana usiku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Shemeji wa marehemu, Tecla Lucas ameiambia Mwananchi leo Agosti 22, 2024 kuwa mwili wa marehemu bado upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali hiyo, wakisubiri ratiba za mazishi kupangwa.

"Amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa Hospitali ya Muhimbili jana usiku msiba utakuwa Mikocheni kwa mama yake mdogo, mwili kwa sasa bado upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti,"amesema Tecla

Marco Joseph: Zabron Singers Group member dies

DAR ES SALAAM: Marco Joseph, an artist from the Zabron Singers, passed away on Wednesday night at the Jakaya Kikwete Heart Institute (JKCI) in Dar es Salaam, where he was receiving treatment, a gospel group member, Japhet Zabron, confirmed the news.


According to Mr Zabron, Joseph’s death was caused by a sudden heart attack that began last Sunday.

“Apart from the sudden attack, he was suffering from nothing else,” he stated in a conversation with a Daily News reporter.

Before joining the group, Joseph had recorded several hit songs, including “Ni Wewe,” “Tofauti,” and “Daktari.”

Despite recording many gospel songs, “Upo Single” and “Mkono wa Bwana” were the ones that introduced the group both within and outside the country.

The group’s song “Mkono wa Bwana” was among those that dominated Dr William Ruto’s presidential campaign in Kenya last year.

The group members were invited to perform during the inauguration of Kenya’s President, William Ruto.
Mungu ampokee na ampe pumziko la milele mtumishi wake.
 
1724342788120.png


View: https://youtu.be/uo9v3wdybyw


View: https://youtu.be/ODa6cCSek0Y
 
Back
Top Bottom