Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Kamilisha habari
TANZIA: Mwimbaji maarufu kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana usiku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Shemeji wa marehemu, Tecla...