Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Shoga la jamii forum likiwa linamtetea shoga mwenzake wa Sauti soul.
Usiitaje Jamii Forums tafadhali, kumbuka watu wamewekeza mamilion ya fedha kujenga mtandao huu, sio kazi nyepesi kumiliki mtandao, hivyobasi futa neno JamiiForums katika comment yako ili lawama ziende kwa Sauti Sol kama mhusika wa jambo hili
 
Mkaka mzuri, mbavu kumbe anapumuliwa aargh it's disappointing, waume wa kutuwowa wanapungua tu.[emoji25]
Mamaa wanaume wa kuowa wapo wengi tatizo kama dada zetu mtazingatia kuangalia muonekano wa mtu hapo mtawakosa.kamata sura yako moja chafu fanya nayo maisha achana na wapaka poda hakuna duniani mwanaume anayejipaka poda akawa mwanaume kamili.

Vijana wengi bishoo's waliingia kwenye huu mchezo kwa tamaa ya kutaka kuishi maisha smoothly bila kuvuja jasho,waendeshe gari nzuri,wachukue watoto wakali town hapa pocket money 5K etc sasa haya yote hujakaza kiume huyapati so wapo watu wanadhamini hizi show wanawatandika fimbo mwisho wananogewa wanawa-dump ndo maana kuna shoga wengi vijana masmart.
 
Mamaa wanaume wa kuowa wapo wengi tatizo kama dada zetu mtazingatia kuangalia muonekano wa mtu hapo mtawakosa.kamata sura yako moja chafu fanya nayo maisha.

Vijana wengi bishoo's waliingia kwenye huu mchezo kwa tamaa ya kutaka kuishi maisha smoothly bila kuvuja jasho,waendeshe gari nzuri,wachukue watoto wakali town hapa pocket money 5K etc sasa haya yote hujakaza kiume huyapati so wapo watu wanadhamini hizi show wanawatandika fimbo mwisho wananogewa wanawa-dump ndo maana kuna shoga wengi vijana masmart.
Kabisa mkuu wengine sijui vipi. Kuna lecturer mmoja pale udsm ni bro flan smart sana kimuonekano hata upstairs yuko fresh. Nilimfahamu kupitia mdogo wangu wa kike mmoja hivi one day nlienda pale main campus nikiwa na 'kivazi'. Niliposepa kumbe yule bro alichukua no. Yangu kwa dgo, tukaanza kuwasiliana kawaida tu na nikawa namuuliza kuhusu kozi Fulani nikitaka kufanya Msc. Inakuaje, baadae akaanza kuleta habari za ajabu, heeeh kumbe ni gay bwana. Nikamwambia kiustaarab nakumblock

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Pengine ungejenga nae urafiki umshauri athari za kufanya hivyo
 
Nawee pia ni hasara kwa wazazi wako
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Hivi
Usiitaje Jamii Forums tafadhali, kumbuka watu wamewekeza mamilion ya fedha kujenga mtandao huu, sio kazi nyepesi kumiliki mtandao, hivyobasi futa neno JamiiForums katika comment yako ili lawama ziende kwa Sauti Sol kama mhusika wa jambo hili
Mkuu kwani hujui kuna member wa jamii forum ambaye ni shoga and he explicitly proclaim on this forum anaitwa cocastic. Na yeye ndio anamtetea huyo shoga mwenzake wa Sauti soul, sasa what is the good way to express this.. wakati huyo shoga ni member wa Jamii forum
 
Tangu enzi hizo naangalia Churchill Show ilikua inajulikana kwamba jamaa ni homo.

Imechukua muda mkubwa sana mpaka kuja kujiweka hadharani
Nadhani hawa vijana washauriwe pengine wamekosa nasaha na malezi mazuri tangu utotoni
 
Hivi

Mkuu kwani hujui kuna member wa jamii forum ambaye ni shoga and he explicitly proclaim on this forum anaitwa cocastic. Na yeye ndio anamtetea huyo shoga mwenzake wa Sauti soul, sasa what is the good way to express this.. wakati huyo shoga ni member wa Jamii forum
Mpeni nasaha huyo kijana, elimu itumike
 
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.

Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.

"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya ndani.

Alisema kwa sasa anaishi ukweli wake na atatumia muziki wake kupinga taasubi za kiume zenye sumu, chuki na unafiki.

Chimano hajawahi kujitokeza hadharani kama mpenzi wa jinsia moja ingawa hapo awali aliwahi kuonekana na wapenzi wa kiume.

Tamko hilo la hadharani linaweza kuwa kupiga jeki juhudi za kupigania haki za watu wa jamii ya LGBT nchini Kenya, ambapo mapenzi ya jinsia moja yameharamishwa na yanaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka 14 jela.

Reference: Sauti Sol singer Chimano hailed in Kenya for coming out as gay

View attachment 2038928
Huyo mbona kitambo tulijua kuna siku sauti soul walipost wapo na wake zao ila huyo alikua na bby wake wa kizungu anaempakua mola tulindie vizazi vyetu[emoji17]
 
Kabisa mkuu wengine sijui vipi. Kuna lecturer mmoja pale udsm ni bro flan smart sana kimuonekano hata upstairs yuko fresh. Nilimfahamu kupitia mdogo wangu wa kike mmoja hivi one day nlienda pale main campus nikiwa na 'kivazi'. Niliposepa kumbe yule bro alichukua no. Yangu kwa dgo, tukaanza kuwasiliana kawaida tu na nikawa namuuliza kuhusu kozi Fulani nikitaka kufanya Msc. Inakuaje, baadae akaanza kuleta habari za ajabu, heeeh kumbe ni gay bwana. Nikamwambia kiustaarab nakumblock

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi

Mkuu kwani hujui kuna member wa jamii forum ambaye ni shoga and he explicitly proclaim on this forum anaitwa cocastic. Na yeye ndio anamtetea huyo shoga mwenzake wa Sauti soul, sasa what is the good way to express this.. wakati huyo shoga ni member wa Jamii forum
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie khaaaah.
Kwahiyo nisipo mtetea huyo chimao ndo ataacha ushoga? Kwani lazima wote tumpinge? Kila mtu afanye vile anavyoona kwake n sawa, tusipangiane.

Hizo hasira zako kunywa maji mengi na u relaaaaax, poleeeee sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe na Chimao wote ni Machoko tofauti ni maeneo tu. Hii ni hasara kubwa kufru kabisa kwa Mwenyezi Mungu
Sasa wee unateseka kipi? Amekufuata kutaka umkaze? Mwenzio ameweka wazi ili mabasha wamfuate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa wee km sio basha na huna hisia za ushoga unakerekwa vipi? Huyo Mungu wako ukimjua wee inatosha, sio wote wanamjua. Nitolee stress zako hapa msieeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa shoga la Jamii forum. Ushauri wa bure mrudie Mungu kwa imani yako hizo tabia za kuingiliwa na wanaume wenzako ni fedhea kwa Wazazi wako...Yaan baba na mama yako wanajua kabisa wewe uwa unaingiliwa 🙊🙊
 
Halafu na wewe mtoa utakuwa mmoja wao
Siku zingine uache kutuletea habari Kama hizi.
 
Back
Top Bottom