Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Nadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.

Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.

Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.

Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.


Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
acha kutetea wasenge, mbona kuna mijitu mingi tuu inajulikana kabisa walivozaliwa mpaka makuzi yao ni walizaliwa wakiwa straight kabisa, ila wanakuja kubadilika na kuwa mapunga kwa maamuzi yao.

manjemba mengi tuu tena mabaunsa wanyanyua vyuma wanapelekewa moto.
 
Kiongozi kuna Point umezungumza "Wanawake wengi kupenda kulea watoto peke yao"
Ni ukweli mtupu hasa wenye kipato kidogo,
Unakuta mwanaume anafanyiwa visa mpaka anasarenda!
Na wanawake wengi wa hivyo ukiwachunguza ni walevi Na hawana Muda Na watoto kila kitu mtoto yupo Na Dada wa Kazi
Mtoto wa hivyo akikuwa unategemea atakuwa na tabia zipi!!!
 
Back
Top Bottom