Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
acha kutetea wasenge, mbona kuna mijitu mingi tuu inajulikana kabisa walivozaliwa mpaka makuzi yao ni walizaliwa wakiwa straight kabisa, ila wanakuja kubadilika na kuwa mapunga kwa maamuzi yao.Nadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.
Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.
Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.
Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.
Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
manjemba mengi tuu tena mabaunsa wanyanyua vyuma wanapelekewa moto.