Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

acha kutetea wasenge, mbona kuna mijitu mingi tuu inajulikana kabisa walivozaliwa mpaka makuzi yao ni walizaliwa wakiwa straight kabisa, ila wanakuja kubadilika na kuwa mapunga kwa maamuzi yao.

manjemba mengi tuu tena mabaunsa wanyanyua vyuma wanapelekewa moto.
 
Kiongozi kuna Point umezungumza "Wanawake wengi kupenda kulea watoto peke yao"
Ni ukweli mtupu hasa wenye kipato kidogo,
Unakuta mwanaume anafanyiwa visa mpaka anasarenda!
Na wanawake wengi wa hivyo ukiwachunguza ni walevi Na hawana Muda Na watoto kila kitu mtoto yupo Na Dada wa Kazi
Mtoto wa hivyo akikuwa unategemea atakuwa na tabia zipi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…