Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Ni hatua muhimu na bora sana kuishi ndani ya uhalisia wake.
Hongera sana chimao, piga kelele kwa chimao wake,weuweeeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewee
 
Africa imeoza,na hata hii jf pia imeoza.
Siku hizi wanaume wengi wanavaa suruali lakini wanaume halisi ni wachache.

Kwanza jamaa lenyewe hili sijui linaimbaga nini. halafu limzungu ndo linammonyoa kmmmk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…