Daah "Queen of Country" ataendelea kuishi karne na karne.Apumzike kwa amani💔View attachment 3656965
Mwimbaji Gwiji wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo.
Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipotangaza Mwezi Mei 2026 kufuta onesho lake la Las Vegas na kusema amekuwa akipata matibabu kwa muda baada ya mawe kugundulika kwenye figo zake.
Hii nyimbo kumbe ni story ya kweli..Bila Shaka Jolene ilikua pisi ya kwenda...Jolene Jolene...
A coat of many colors
Jolene Jolene nakumbuka hiki kibao enzi hizo mitaa ya ubalozi wa ufaransa pembeni na Jolie walikuwa wanapenda kukapiga hako kawimboJolene Jolene...
A coat of many colors
😅😅 Jolene kuna mda nilikuwa nacheka tu nikisukiliza na nilikuwa napenda weka nikiwa kwenye safari ndefuHii nyimbo kumbe ni story ya kweli..Bila Shaka Jolene ilikua pisi ya kwenda...
Jolene Jolene...
A coat of many colors
Leo asubuhi sijui ilikuaje nikaingia YouTube kuangalia interview yake na Ellen Degeneres😅😅 Jolene kuna mda nilikuwa nacheka tu nikisukiliza na nilikuwa napenda weka nikiwa kwenye safari ndefu
View attachment 3656978
Huenda ndio ulikuwa una muaga dk za mwisho mwisho . Ni pigo sana kwa sie wapenda countryLeo asubuhi sijui ilikuaje nikaingia YouTube kuangalia interview yake na Ellen Degeneres
miaka 80 unasema bado kabisa, kufika hapo ni kushukuru Mungucoat of many colors nakumbuka mbali sana
Dah! kafa bado kabisa, kifo hiki.. wanakufa watu wa maana kabisa wanabaki watu wa ajabu ajabu
View attachment 3656976
kwa wenzetu 80 bado sanaaa mkuu, huku kwetu 80 ndio tia majia tia maji mkuu.miaka 80 unasema bado kabisa, kufika hapo ni kushukuru Mungu