Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Nakumbuka nyimbo zake nikiwaa mdogoMwimbaji nguli wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo.
Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipotangaza Mwezi Mei 2026 kufuta onesho lake la Las Vegas na kusema amekuwa akipata matibabu kwa muda baada ya mawe kugundulika kwenye figo zake.View attachment 3657018View attachment 3657019View attachment 3657020
Aisee nimecheka sanaA trash haha
Nakaimbaga haka kawimbo mara kwa mara. Hasa nikiwa na kazi binafsi ya kufanya..coat of many colors nakumbuka mbali sana
Dah! kafa bado kabisa, kifo hiki.. wanakufa watu wa maana kabisa wanabaki watu wa ajabu ajabu
View attachment 3656976
Na wewe pia rafiki ,tuseme Inshallah.Mwenyezi Mungu akuweke na wewe rafiki yangu ufikishe zaidi ya hiyo
Of many coloursView attachment 3657053
Dolly Parton, mwanamuziki maarufu wa muziki wa country wa Marekani, amefariki tarehe 25 Agosti 2026 akiwa na umri wa miaka 80. Kifo chake kimethibitishwa na familia yake na mwakilishi wake.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, alifariki kwa amani huko Nashville, Tennessee. Hata hivyo, chanzo rasmi cha kifo hakijawekwa wazi na familia/wawakilishi wake.
Kabla ya kifo chake, alikuwa amekuwa akipitia changamoto za kiafya; taarifa za vyombo vya habari zinasema alilazwa hospitalini Nashville siku chache kabla ya kufariki.
Dolly Parton alijulikana sana kwa nyimbo kama “Jolene,” “9 to 5” na “I Will Always Love You,” pamoja na kazi zake za uhisani kupitia Imagination Library.
Mungu ailaze roho yake mahali pema. 🕊️
Hii ngoma ni balaa... hua najaribu tu kuwaza huyu Jolene alikua mrembo kiasi gani..😅😅 Jolene kuna mda nilikuwa nacheka tu nikisukiliza na nilikuwa napenda weka nikiwa kwenye safari ndefu
View attachment 3656978
Jolene itakuwa alikuwa mkali zaidi ya Angelina Jolie mkuuuHii ngoma ni balaa... hua najaribu tu kuwaza huyu Jolene alikua mrembo kiasi gani..