Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Amigolas afariki Dunia

Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Amigolas afariki Dunia

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Mwenye taarifa zaidi atujuze.....nimesikia dk hii.
Nasikia amefia Muhimbili usiku huu kutokana na tatizo lake la pumu.
Kama kweli, R.I.P Amigolas....mwimbaji wa Twanga Pepeta.
 
Mwenye taarifa zaidi atujuze.....nimesikia dk hii.
Nasikia amefia Muhimbili usiku huu kutokana na tatizo lake la pumu.
Kama kweli, R.I.P Amigolas....mwimbaji wa Twanga Pepeta.

Anaitwa Hamis Zayumba au Amigolas. Alikuwa na mustachi fulani hivi hadi kulikuwa na rap yake ilikuwa inaimbwa 'mustachi wa amigo'. Ila kuna wakati jamaa alihama Twanga na kuanzisha bendi fulani hivi, sasa sijui kama alirudi tena. Mwenye taarifa za uhakika atujuloshe.
Ova
 
Amigolas alishahama Twanga na wenzake wakaanzisha bendi yao. Ni miongoni mwa wanamuziki waanzilishi wa The African Stars.
 
Anaitwa Hamis Zayumba au Amigolas. Alikuwa na mustachi fulani hivi hadi kulikuwa na rap yake ilikuwa inaimbwa 'mustachi wa amigo'. Ila kuna wakati jamaa alihama Twanga na kuanzisha bendi fulani hivi, sasa sijui kama alirudi tena. Mwenye taarifa za uhakika atujuloshe.
Ova

Yeah, ana gesti yake Manyanya inaitwa Manhattan lodge, opposite na M4C makao makuu.
 
Anaitwa Hamisi Kayumbu sio Zayumba,
Juzkati niliskia alilazwa MNH kwa maradhi ya moyo.
mara ya mwisho amekua akifanyia kazi bendi ya JKT Ruvu stars.
RIP Amigolas baba na sofii.
Wapili kutoka kulia
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    69.9 KB · Views: 1,402
Daa Huyu jamaa alikuwa amelazwa muhimbili kwa kipindi kirefu!

Alisha hama bendi ya Twanga pepeta muda tuu na alikuwa Ruvu band!

Mungu amlaze anapo stahili!
 
Anaitwa Hamisi Kayumbu sio Zayumba,
Juzkati niliskia alilazwa MNH kwa maradhi ya moyo.
mara ya mwisho amekua akifanyia kazi bendi ya JKT Ruvu stars.
RIP Amigolas baba na sofii.
Wapili kutoka kulia

kumbe alikuwa ruvu jkt band na hadija kimobiteli.
Nilimuona kama wiki mbili zilizopita akitoka kambini ruvu jkt.
RIP amigo
 
RIP Amigolas, Huu wimbo hapa chini ni utunzi wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom