Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye taarifa zaidi atujuze.....nimesikia dk hii.
Nasikia amefia Muhimbili usiku huu kutokana na tatizo lake la pumu.
Kama kweli, R.I.P Amigolas....mwimbaji wa Twanga Pepeta.
Anaitwa Hamis Zayumba au Amigolas. Alikuwa na mustachi fulani hivi hadi kulikuwa na rap yake ilikuwa inaimbwa 'mustachi wa amigo'. Ila kuna wakati jamaa alihama Twanga na kuanzisha bendi fulani hivi, sasa sijui kama alirudi tena. Mwenye taarifa za uhakika atujuloshe.
Ova
Yaani kama kweli itaniuma sana
Ushawahi kuingia hapo?Yeah, ana gesti yake Manyanya inaitwa Manhattan lodge, opposite na M4C makao makuu.
Anaitwa Hamisi Kayumbu sio Zayumba,
Juzkati niliskia alilazwa MNH kwa maradhi ya moyo.
mara ya mwisho amekua akifanyia kazi bendi ya JKT Ruvu stars.
RIP Amigolas baba na sofii.
Wapili kutoka kulia
Daa Huyu jamaa alikuwa amelazwa muhimbili kwa kipindi kirefu!
Alisha hama bendi ya Twanga pepeta muda tuu na alikuwa Ruvu band!
Mungu amlaze anapo stahili!