Mkisali salini hivi "baba yetu uliye mbnguni, jina lako litukuzwe, ufalme wako uje, MAPENZI YAKO YATIMIZWE HAPA DUNIANI KAMA HUKO MBINGUNI, utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu kama sisi nasi tunavyowasamehe waliotukosea, usitutie katika vishawishi,lakini utuokoe na yule muovu, kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu na utukufu, hata milele, AMEN". Ineleke mwingira anayafumbia macho baadhi ya mafundisho ya YESU tena mafundisho yenyewe ni ya msingi sana, sala aliyotufundisha sisi waamini, hapo nilipoandika kwa herufi kubwa, tumuombe MUNGU alitakolo lifanyike duniani kama mbinguni, "alitakalo" Si tulitakalo, akitaka dawa itolewe loliondo sisi tunakwenda kinyume na maombi yetu wenyewe, tunataka labda dawa itolewe na wanaojiita wenye upako, kwa wanavyojipambanua inatushawishi kuwa upako ni mali yao wala si mali ya MUNGU ROHO TAKATIFU, manabii mtawajua kwa matunda ya kazi zao. Watawaombea watu kufa badala ya msamaha, YESU aliomba akisema "baba wasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo".