Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

 

Ni Kweli Mwingira ni Jasiri lakini hamushindi ujasiri Mzindakaya!!! Hata shetani ni Jasiri!!!
Pia Kitendo cha Mwingira kuzini na mke wa Mwanasheria ni ujasiri mkubwa wa Kishetani!!!
 
 
 
 
 
Sintahukumu. Naendelea kumwomba Mungu. Kwakuwa nina hakika hakuna lililofichika ambalo halitajulikana katika kizazi hiki. Endeleeni kubishana na kutetea msiyoyajua.
 

Mpaka sasa imesaidia nini baada ya kuandika hayo yote?
Hivi inachukua muda gani mtu kusamehewa baada ya kufanya dhambi ikiwa ametubu? Au umejiridhisha kuwa hawezi akatubu kama kweli alifanya dhambi unazozitaja?

Hivi wewe una neema ya kazi ambayo Apostle Mwingira anayo? Au una hakika washirika wake wooote ni wajinga kuwepo chini ya neema ambayo Mungu amempatia. Kama ni wivu, kwa kweli unao!!! Kazana...
 
Lakin Ponda angesema SERIKALI NO WASHENZI WATU WANGEMWITA GAID,WANGESEMA SERIKALI INAMUOGOPA NA WANGEMWITA MAJINA MENGI YA DHIHAKA,,,,
ILA KASEMA MWINGIRA WATU WANAMUUNGA MKONO NA KUMSIFU KWA MAPAMBIO
 
mdau una maanisha MWINGIRA ANAYETUKANA MADHABAHUN ANA NEEMA???
 

Ni Kweli Mwingira ni Jasiri lakini hamushindi ujasiri Mzindakaya!!! Hata shetani ni Jasiri!!!
Pia Kitendo cha Mwingira kuzini na mke wa Mwanasheria ni ujasiri mkubwa wa Kishetani!!!
duuuh,,,MTUME ANAZINI??????
 
 
Last edited by a moderator:
Katunzi huyu anayeweka matangazo ya Biashara WAPO FM?

umenichekesha sana,siku hiz wachungaj wanaweka matangazo lukuk kwenye redio,na ndio hao hao wanaoweka na namba zao za simu ili wapokee mkwanja wa m-pesa na tigo-pesa
 
Injili imehubiliwa!!!
Faida ipo Mbele za Mungu!!!
Mtu akifanya dhambi mwambie kuwa hiyo ni dhambi hata kama yeye na wafuasi wake watachukia!!
 
 
duuuh,,,MTUME ANAZINI??????

Kabla sijaanza kuchambua ukweli wake napenda kunukuu Sehemu ya kwanza ukurasa wa Kwanza wa Kitabu hichoambapo Nabii na Mtume Mwingira anaeleza jinsi alivyo kutana na mungu wake na kupewa kazi.Mwingira anaanza kusimulia kama ifuatavyo

‘Nakumbuka siku moja nikiwa Mirerani ,huko Arusha, BWANA YESU alinitokea chumbani. Kwa kuwa nilikuwa mzinzi na mlevi niliyebobea, ndiyo kwanza nilikuwa nimetokea kwenye starehe zangu, tayari nikiwa na dada mmoja Kahaba. YEYE Kama nilivyoeleza hapo juu, mimi nilikuwa katika mazingira ambayo hayakuwa mazuri sana kwa sababu nilikuwa katika hali ya ulevi namshiriki wa mambo mengi ya dunia.
Yule dada(kahaba) alipona hali hiyo akakimbia ,nikabaki(Josephati) peke yangu.BWANA YESU akasema, "Mimi ninakutaka wewe uache maovu yote na unitumikie" Baadaye wakati alipotaka kuondoka ,ikanibidi nimshike miguu na kumg'ang'ania, nikamwambia, "usiniache!' Akashuka chini na kunishika bega la mkono wa kulia akasema,'Nitakuwa na wewe! Halafu akatoweka.

Baada ya hapo yakawa yananitokea maono Fulani Fulani ya kutumwa. Mara BWANA YESU alinituma nikawaombee watu Fulani Fulani waokoke au wapone kutokana na magonjwa yao wakati mimi nilikuwa bado sijui kuokoka kilikuwa kitu gain.
Lakini nikawa napata neema ya kwenda kuwaombea na wagonjwa wakawa wanapona.Wakati mwingine BWANA YESU akawa ananitokea katika ndoto au anatuma malaika ambao walikuwa wananielekeza watu wa kwenda kuwaombea uponyaji kutokana na mtatizo yao. Kufikia hapo nikawa hata nikienda kunywa pombe ,nilikuwa naitapika yote. Hama ya pombe ikaisha na nikaichukia moja kwa moja. Baada ya hapo nilikuwa sijui hata kufungua Bibili, ukiachilia mbali kwamba nilikuwa sina Bibilia….' Mwisho wa kunukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…