Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

Ambayo unaweza kuyakubali ama KUYAKATAA. Sasa Mwinyi aliruhusu biashara huria kwa kuyakubali. Una kichwa kizito sana
Itakuwa walikwua washakubaliana, maana yule mzee na kutokuwa rais lakini inavyoonekana alikuwa bado ana nguvu dnani ya serikali na kwenye chama basi hii inamaanisha alikuwa amekubali utekelezaji huo.
Ukitaka kujua nguvu zake, ni pale inaposemekana Bw. Jakaya alikuwa kampiga chini Mkapa ila mzee hakuwa anamwamini Jakaya.
Sema watu wana ndoto kubwa na wanazitimiza. Jakaya laiti angeshinda hiyo 95 angekuwa rais mdogo kweli.
 
Back
Top Bottom