Itakuwa walikwua washakubaliana, maana yule mzee na kutokuwa rais lakini inavyoonekana alikuwa bado ana nguvu dnani ya serikali na kwenye chama basi hii inamaanisha alikuwa amekubali utekelezaji huo.
Ukitaka kujua nguvu zake, ni pale inaposemekana Bw. Jakaya alikuwa kampiga chini Mkapa ila mzee hakuwa anamwamini Jakaya.
Sema watu wana ndoto kubwa na wanazitimiza. Jakaya laiti angeshinda hiyo 95 angekuwa rais mdogo kweli.