Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ametulia sana tofauti na wengine wengi. Anaonekana kujali sana maslahi ya Wazanzibar na yupo smart kupata anachotaka kwa ajili ya watu wake.
Siku tukipata Rais wa namna hii ambaye atatanguliza Tanzania mbele tutafika mbali sana.
Ingekuwa si Mzanzibar ningesema 2025 aje agombee huku lakini wasiwasi wangu jinsi anavyoipenda Zanzibar huku ndo tutaumia zaidi sababu mijitu iliyoko huku Bara ni mijinga haina Uzalendo na Tanganyika kabisa.