Pre GE2025 Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uraisi na uwaziri nchi hii yanaenda kuwa mambo ya kifamilia sasa. Anyway waache wafu wazikane
 
Tunaenda na mama mpaka 2030.
 
Mmmmmm, amechoka nini? Mbona mimi naona mama wa watu anajitahidi kuendesha nchi vizuri. Mimi nashauri tumuunge mkono rahisi wetu na pia tumtie moyo. Pia tutamnue kuwa yeye naye ni mwanadamu, hivyo tuache maneno ya kukatisha tamaa kama haha. Mama ameichukua nchi kwenye Hali ngumu sana na ametuvusha. Binafsi siambiwi wala kusikia chochote kile juu ya rais Samia. Nitamuunga mkono Kwa asilimia mia. Mitano tena Kwa rais Samia.
 
Reactions: Ame
Hakuna mtanganyika mwenye uwezo wa kuwa Rais hadi kuhangaika na wazanzibar?
 
Nchi haiwezi kuongozwa na dini moja na wote kutoka zanzibar mfululizo
 
Imekwisha wekwa wazi fomu ni moja tu!
 
Ukikua utaacha upumbavu, tunakusamehe kwa vile ni utoto tu
 
Sukumagang umebaki peke yako. Nchi hairudi tena kule, kubali matokeo tu.
 
Watanzania tunataka Rais mwenye uwezo wa kuikwamua nchi yetu kiuchumi. Rais mwenye uwezo wa kama au zaidi ya Rais Mkapa atatufaa sana. Mwinyi hana uwezo huo.... Na hatutaki urais wa familia
Watu hawamjui Hussein Mwinyi vizuri. Haiba yake inaficha mengi. Yule ni mfanyabiashara tu halafu ni dikteta wa kimya kimya.
 
Form itachapwa wapi? Maana mchapaji kaambiwa ni moja tu na ikishafyatuliwa mashine inafungiwa stoo
 
Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki
Mgawanyiko gani? Kwamba CCM huwa inataka viongozi waadilifu? Ili iweje? Washindwe kuiba? Kama hujui CCM ndio haswa wanamtaka samia maana kwa haiba yake ndio wanaweza kuiba wanavyojisikia.
 
Mtu unabuni Jambo lako kichwani unakuja sema umepata habari za ndani
 
Nakumbuka kuna kambi moja ya jeshi chupuchupu kuhamishwa kupisha uwekezaji enzi za waziri.wa ulinzi

Alipoingia mabeyo na jiwe mpango ule ukazimwa.akawa amechelewa. Huyo mwamba anaubepari fulani.hata huko alipo wamuangalie lasivyo ataondoka na nusu ya kisiwa kimojawapo.
 
ok tumekusikia !
Ngoja Tusubiri tuone !
Lakini atayaweza yale yanayokwapua pesa za Umma kila kukicha ??!

CAG anayaibua kila mara lakini bado yanadunda tu na mengine yanaibuka !

Je ataweza kuzibadili sheria na sheria mama zinazowalinda ??!
 
Mtanange utakua mkali sana badamu batamwagika, bibi kizimkazi akiona nyuzi kama hzi anashikwa na tumbo la kuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…