Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Uraisi na uwaziri nchi hii yanaenda kuwa mambo ya kifamilia sasa. Anyway waache wafu wazikane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Otikii🤣Dr Titus mrudisheni kule TANAPA kikosi cha ushauri mnajenga hovyo hovyo mahoteli huko mbugani mpaka wanyama wanakosa FARAGHA !!!
Mmmmmm, amechoka nini? Mbona mimi naona mama wa watu anajitahidi kuendesha nchi vizuri. Mimi nashauri tumuunge mkono rahisi wetu na pia tumtie moyo. Pia tutamnue kuwa yeye naye ni mwanadamu, hivyo tuache maneno ya kukatisha tamaa kama haha. Mama ameichukua nchi kwenye Hali ngumu sana na ametuvusha. Binafsi siambiwi wala kusikia chochote kile juu ya rais Samia. Nitamuunga mkono Kwa asilimia mia. Mitano tena Kwa rais Samia.Samia ameshachoka kuongoza nchi, kwa sasa nchi inajiendea tu kama vile haina kiongozi wa serikali, mawaziri wanashindana kujitengenezea utajiri jwa kutupiga kwenye miradi feki mbalimbali wanayobuni na hayupo wa kuwaadhibu.
- Nina wasiwasi na hiyo nafasi ya VP kama haitakwenda kwa mwanamke safari hii, maana siku hizi wanajidai wameamka sana.
Calibre ya mtu kama Mwinyi utaona kabisa hawahitaji chawa, kwa uwepo wake chawa wote watapotea automatically, uwepo wa chawa unachangiwa zaidi na uvivu wa kiongozi husika kwenye kutekeleza majukumu yake, hivyo anawaachia wajinga wamjibie badala yeye ndie atoe majibu, matokeo yake mambo ndio yanazidi kwenda hovyo.
Hakuna mtanganyika mwenye uwezo wa kuwa Rais hadi kuhangaika na wazanzibar?Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki
Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa kwenye kundi linalobeba watu fulani hivyo basi akiendelea kutawala Kuna mgawanyiko mkubwa Sana utatokea kwenye chama na nchi ambao utakuja kukipasua chama na nchi vipande vipande
kwa nini Mwinyi?
Mwinyi aliandaliwa mapema sna kulingna na kariba yake ya kutokuwa na kundi kwa sababu yeye ni mtu makini anayetenda haki na anaaminika Sana na ni mtulivu wa kiwango cha Hali ya juu hivyo basi Rais mwinyi atakuwa kiunganishi mkubwa wa nchi, chama na serikali.
Nchi haiwezi kuongozwa na dini moja na wote kutoka zanzibar mfululizoNi Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki
Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa kwenye kundi linalobeba watu fulani hivyo basi akiendelea kutawala Kuna mgawanyiko mkubwa Sana utatokea kwenye chama na nchi ambao utakuja kukipasua chama na nchi vipande vipande
kwa nini Mwinyi?
Mwinyi aliandaliwa mapema sna kulingna na kariba yake ya kutokuwa na kundi kwa sababu yeye ni mtu makini anayetenda haki na anaaminika Sana na ni mtulivu wa kiwango cha Hali ya juu hivyo basi Rais mwinyi atakuwa kiunganishi mkubwa wa nchi, chama na serikali.
anajizima data tu.samia ndo kusema pale ccm na serikalini na kwenye vyombo vyote vya dola.Mrs Hafidh
Imekwisha wekwa wazi fomu ni moja tu!Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki
Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa kwenye kundi linalobeba watu fulani hivyo basi akiendelea kutawala Kuna mgawanyiko mkubwa Sana utatokea kwenye chama na nchi ambao utakuja kukipasua chama na nchi vipande vipande
kwa nini Mwinyi?
Mwinyi aliandaliwa mapema sna kulingna na kariba yake ya kutokuwa na kundi kwa sababu yeye ni mtu makini anayetenda haki na anaaminika Sana na ni mtulivu wa kiwango cha Hali ya juu hivyo basi Rais mwinyi atakuwa kiunganishi mkubwa wa nchi, chama na serikali.
Ukikua utaacha upumbavu, tunakusamehe kwa vile ni utoto tuNi Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki
Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa kwenye kundi linalobeba watu fulani hivyo basi akiendelea kutawala Kuna mgawanyiko mkubwa Sana utatokea kwenye chama na nchi ambao utakuja kukipasua chama na nchi vipande vipande
kwa nini Mwinyi?
Mwinyi aliandaliwa mapema sna kulingna na kariba yake ya kutokuwa na kundi kwa sababu yeye ni mtu makini anayetenda haki na anaaminika Sana na ni mtulivu wa kiwango cha Hali ya juu hivyo basi Rais mwinyi atakuwa kiunganishi mkubwa wa nchi, chama na serikali.
Watu hawamjui Hussein Mwinyi vizuri. Haiba yake inaficha mengi. Yule ni mfanyabiashara tu halafu ni dikteta wa kimya kimya.Watanzania tunataka Rais mwenye uwezo wa kuikwamua nchi yetu kiuchumi. Rais mwenye uwezo wa kama au zaidi ya Rais Mkapa atatufaa sana. Mwinyi hana uwezo huo.... Na hatutaki urais wa familia
Mgawanyiko gani? Kwamba CCM huwa inataka viongozi waadilifu? Ili iweje? Washindwe kuiba? Kama hujui CCM ndio haswa wanamtaka samia maana kwa haiba yake ndio wanaweza kuiba wanavyojisikia.Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki
Hivi mwinyi ana kipi hasa cha kumzidi Samia? If at all kipo, naona ni yaleyale tu underperformance na ufisadi utakithiri.Calibre ya mtu kama Mwinyi utaona kabisa hawahitaji chawa
ok tumekusikia !Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki