Mwinyi Mkuu Katundu atekwa na wanaodaiwa kuwa wanausalama, hajulikani alipo. Huu ni mtihani wa kwanza kwa Diwani Athuman

Isije kuwa ni mfadhili wa Magaidi yanayoua raia huko mtwara
 
Kama ana husika na ugaidi sisi Wananchi hatuna namna alipe kwa matendo yake
 
Huyo jamaa nilivoona tu kavaa kanzu,jumlisha na jinsi alivyokamatwa basi nime conclude hajatekwa
 
Sina Mungu mwingine, wa kutegemea
mbiguni na duniani, hapana mwingine
sina cha kupendeza, wala cha faida
ila wewe bwana wangu, mungu wa milele

Mwili na moyo wangu, vyaweza zimia
mbali Mungu ndiye nguvu, za uhai wangu
yeye sehemu yangu, milele daima
Mbiguni na duniani, hapana mwingine

nitaingia hema yake, na sifa zake kuu

()
Ni nani mwingine ajazaye roho yangu
na kunipa raha kamili
ni nani semeni, akomboaye mwanadamu
na kumshindia shetani
 
Sizani kama kuna watu 20 walio chinjwa... Zitto ana jarbu kusema kama ni mhalifu utaratbu ufatwe, na wengine wana sema itafikia hatua tutashindwa kutofautisha kati ya majambazi na maafisa wa usalama au poolisi
Serikali ina njia zake za kushughulika na watuhumiwa wa aina hiyo,hata ukienda USA
Sio kila tukio ni la kutafutia kiki,huyo Zitto juzi watu wamechinjwa kama kuku,hakupost
 

Huu ni uchangiaji wa kinafiki,uchangiaji wa kibinafsi maana aliyepotea sio ndugu yako,and always try to read to understand ,hayo maelezo kutoka kwa Mh.Zitto(iam under correction ,maana sijui kama ni ya kwake)hayajasema TISS wanahusika BUT alitegemewa baada ya mabadiliko ya uongozi wa TISS mambo haya ya watu kupotea na kutekwa au kukamatwa bila taratibu za kisheria yasingekuwepo,hakusema kuwa TISS inahusika;na machinga kuwa na hati ya kusafiria ni HAKI yake,kila mtanzania anayo haki hii ya kuwa na passport;tunazidi kuwa taifa la hasira na visasi na matokeo yake tunaanza kuyaona,watanzania wa sasa tumejaa hasira na visasi vingi,upendo haupo miongoni mwetu,tukio kama hili kwa wengi wetu tunalichukulia kwa furaha wakati hapa one family leo imeamka bila ya kuwa na baba yao.

Arresting a suspect ni lazima ifanywe kisheria,ni haki ya suspect kuomba utambulisho wao,sababu ya kuwa arrested na haki ya kuongea na mwanasheria wake,na lazima haya yafanyike baada ya kuwa na link kati ya kosa na suspect,na tuelewe upo innocent until proved quilty by court of law sio sisi humu ndani.
 
Machinga ana hati ya kusafiria..! I wish ningeishika hiyo hati niangalie mihuri... Then ndio tutajua machinga kweli au lah na ana la kueleza au lah..
Sawa la msingi hili.

Waovu wengi hujificha kwenye migongo ya watu wema. Ukute ana mfungamano na magaidi.
 
Huu utekaji sijui utaisha lini, kuna mambo mengi nyuma ya pazia hatuna taarifa nazo lakini mtu si ashitakiwe kwa taratibu na sheria tulizojiwekea?

Usikute wame mlink na hawa jamaa wa Msumbuji wanao ua Watanzania
 
Itaamsha hasira ya wananchi, hii ya kimya kimya ndo poa
 
Itaamsha hasira ya wananchi, hii ya kimya kimya ndo poa
Unaweza kuwa umetema shudu au VICE VERSA. Imagine kama TISS wanaweza kumchukua mtu kimya kimya vipi kama Afisa wa TISS akiwa na ugomvi binafsi na wewe??? Vipi kama Majambazi nao wakajidai TISS na kuja kukuteka huku wananchi wote wakiamini kuwa ni TISS?? Vipi kama TISS wenyewe wakiwa majambazi??
 
Gaidi hukamatwa kigaidi mkuu! Hata Wamarekani mnaowasifu kwa demokrasi magaidi waliwakamata na kuwapeleka Quantanamol mkuu!
Ni sawa lakini kwa sasa nchini kwetu hata ukichukua demu tu wa afande/mwanasiasa unapotezwa kama gaidi?!! Haiwezekani, kwani ukisharuhusu hili jua kuwa kuna watu wengi watapotezwa tu bila kosa, mfano siku hizi kusikia majambazi sita wameuawa kwenye mapambano na askari, ni sifa kwa jeshi!!! Ni baada ya kupata baraka toka juu!! Unadhania ni wangapi wanauawa tu kwa mambo mengi, tena askari wetu hawa?!!
 
Kuwa pasi ni ajabu?
Comments zako zimekutambulisha wewe ni wa aina gani.
Kumbuka sote ni wa Tanzania regardless kila mtu ana imani yake. TANZANIA KWANZA.
Sio ajabu... Ni akili ya kawaida tu mzee... Wamachinga tunawajua hali zao na tunajua maisha yao sasa kukuta mmachinga ana pass ya 150k pesa ambayo angeweza kuiingiza kwenye biashara akaongeza mtaji pia jiulize kama hiyo pass iko active hizo nauli anatoa wapi kwa hali ya mmchinga? Ndio maana nikasema cha kuangalia kwanza ni kitimu gani... Nichukulie vyovyote Mkuu... Afu ukisema walewale unamaanisha nn sijui Mkuu
 
unaweza kukuta alikuwa anakwenda Msumbiji kufanya Umachinga wake. Au aliwahi kupata ufadhili kwenda Macca....(najitahidi tu kufikiria)
Thats why nikasema ikaguliwe mihuri kwanza... Lakini kwa wakazi wa Mipakani mara nyingi wanakuwa na zile za dharura... Sasa sijajua anayo ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…