Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikudanganya kuwa zamani polisi uongozi wa wa mtaa unaambatana nao? Ulisoma wapi? Unaongolea Tanzania au nchi nyingine?Hivi kwa nini polisi wasijitokeze hadharani na kuukana huu utaratibu wa kuvizia watu usiku wa manane kwenye nguo za kiraia.
Kwa nini isiwe kama zamani polisi wakija kukamata mtu lazima uongozi wa mtaa husika uambatane nao maana hapajitikezi hata majibizano ya risasi kwenye hizi kamatakamata.
Kama polisi hawahusiki basi wanailea hii tabia.
Hata ukioneshwa kitambulisho cha polisi utajuaje kama ni valid? Wangapi mmewahi hata kuviona hivyo vitambulisho before?
Imetajwa kuwa watekaji walikuwa na silaha za moto. Ungelikuwa wewe ungefwata mkia? Hayo mambo sikia yakitokea kwa wengine usiombe yakukute.Mleta uzi pole yake lakini ni mbumbumbu. Mtu akijitambulisha ni askar Tayari ni askari? Kwa nini hamkujitolea wanafamilia watano kuongozana naye mkaone kituo anachopelekwa kisha mrudi nyumbani?
Kwa niaba ya familia ya Mwinyi Mkuu Mohammed Saidi Katundu, kwa masikitiko makubwa kabisa tunatangaza kupotelewa na Baba yetu Mzee Mwinyi Mkuu Mohammed Saidi Katundu katika tukio ambalo lilitokea mkoani Mtwara wilaya ya Tandahimba alfajiri ya tarehe 15 Novemba 2019.
Baba yetu alikuwa nyumbani na familia yake baada ya kurudi kutoka kwenye shughuli zake za kuuza bidhaa zake mtaani almaarufu kama machinga. Ghafla usiku wa saa nane alivamiwa na watu ambao walijitambulisha kama maafisa usalama. Lakini cha kushangaza, waligoma kutoa vitambulisho vyao na kwa kuwa walikuja na silaha za moto ilibidi mzee wetu akubali kuongozana nao. Walimchukua pamoja na kubeba vitambulisho vyake vyote ikiwemo hati yake ya Kusafiria (passport). Hadi usiku wa siku hii ya leo (18 Novemba 2019) ni siku ya nne na hatufahamu mzee wetu yuko wapi.
Tumejitahidi kufanya juhudi za kumtafuta lakini juhudi zetu zote zimegonga mwamba huku Jeshi la polisi likikanusha kumshikilia au kuhusika na kumkamata Mzee wetu. Tunatoa wito kwa Watanzania wote, mwenye kupata taarifa kuhusu mzee wetu, awasiliane na familia haraka iwezekanavyo.
Imetolewa na Mbarouk Khan (simu: ..0672289926, 0658112230, 0716840684
Chanzo: Ukurasa wa Facebook wa Zitto Kabwe
My Take:
Tulitegemea baada ya mabadiriko TISS mambo ya utekaji na upoteaji hovyohovyo wa raia yangekomeshwa.
Lakini cha kusikitisha kumbe mambo yanaendelea business as usual!
Kama ni vyombo vya serikali vinahusika basi ukamataji wa raia una taratibu zake za kisheria lakini hii ya kuvamia watu na kuwapoteza haijakaa sawa.
Serikali itoe maelezo, huyu mwananchi yuko wapi na amechukuliwa na nani?
Haya mambo ni lazima tuendelee kukemea, huyu mtu ana familia yake inayomtegemea kama ana kosa basi afikishwe mahakamani siyo kupotezwa!.
Atakuwa anafadhili ugaidi huyuInshu hapo sio kuwa na passport, au huwa ana kwenda wapi, mnacho fail, ni kitu kidogo tu, njia za ukamataji, kwani ukiwatuma polisi wakaenda mchana tu, na kumkamata, na taratibu nyingine zikafuata, kuna tatizo? Kwani serikali zote huko nyuma hakukuwa na watu kama hawa?lakini approach haikuwa hii!! Ilani njia moja ya serikali zile zinazotisha wananchi!! Halafu unasikia viongozi wa dini wanatoa mapambio ya kusifia tu ili mambo yao yanyooke tu!! Bora yeriko nyerere anayeabudu mizimu ya mababu.
Atakuwa anafadhili ugaidi huyu
We unaonaje, watu wamechinjwa Msumbiji na mpakani mwa Mtwara hamkupiga kelele, leo kachukuliwa mmoja tu kelele dunia nzima!! au waliochinjwa ni kuku? mmachinga gani anarudi usiku wa manane, ana hold passport, anaishi good life naona hata kwenye picha anaandaa msosi kwa gas coocker! ha ha ha ha ha haaa inataka moyo kuamini!Muogope Mungu, Si vizuri kumdhania mtu dhana mbaya bila ushahidi.
Usihukumu, usije ukahukumiwa, Kama huna ushahidi wa Jambo muachie Mungu ahukumu.
Hujafa hujaumbika!
TISS mnachosha kama alikuwa mtu wenu..mrudisheni babu wa watu🙄
Roma alishasema yaliyomsibu au Mo????? Tusubiri ipo siku wajukuu wetu wataandika wakati tumeshaoza makaburini. Mungu wao anawaona kama yupo. Huyo Mungu anayekaa kimya wakati watu wanateseka kwanini. Kutoka Misri Manna ilimwagwa jangwani kama ni kweli je sasa iweji dunia inalia au Mungu wamekuwa wengi na wanagawana majukumu?Tunasubiri atoroke kutoka huko alipo ili aje kufungua malalamiko yake ndipo tuweze kufuatilia.
Huyu ni zaidi ya Machinga. Kuna mahali amekosea!!!! Hati ya kusafiria!!!. Ukiangalia na mwonekano wake katika picha basi inatosha. Poleni ndugu zake.
Kwa niaba ya familia ya Mwinyi Mkuu Mohammed Saidi Katundu, kwa masikitiko makubwa kabisa tunatangaza kupotelewa na Baba yetu Mzee Mwinyi Mkuu Mohammed Saidi Katundu katika tukio ambalo lilitokea mkoani Mtwara wilaya ya Tandahimba alfajiri ya tarehe 15 Novemba 2019.
Baba yetu alikuwa nyumbani na familia yake baada ya kurudi kutoka kwenye shughuli zake za kuuza bidhaa zake mtaani almaarufu kama machinga. Ghafla usiku wa saa nane alivamiwa na watu ambao walijitambulisha kama maafisa usalama. Lakini cha kushangaza, waligoma kutoa vitambulisho vyao na kwa kuwa walikuja na silaha za moto ilibidi mzee wetu akubali kuongozana nao. Walimchukua pamoja na kubeba vitambulisho vyake vyote ikiwemo hati yake ya Kusafiria (passport). Hadi usiku wa siku hii ya leo (18 Novemba 2019) ni siku ya nne na hatufahamu mzee wetu yuko wapi.
Tumejitahidi kufanya juhudi za kumtafuta lakini juhudi zetu zote zimegonga mwamba huku Jeshi la polisi likikanusha kumshikilia au kuhusika na kumkamata Mzee wetu. Tunatoa wito kwa Watanzania wote, mwenye kupata taarifa kuhusu mzee wetu, awasiliane na familia haraka iwezekanavyo.
Imetolewa na Mbarouk Khan (simu: ..0672289926, 0658112230, 0716840684
Chanzo: Ukurasa wa Facebook wa Zitto Kabwe
My Take:
Tulitegemea baada ya mabadiriko TISS mambo ya utekaji na upoteaji hovyohovyo wa raia yangekomeshwa.
Lakini cha kusikitisha kumbe mambo yanaendelea business as usual!
Kama ni vyombo vya serikali vinahusika basi ukamataji wa raia una taratibu zake za kisheria lakini hii ya kuvamia watu na kuwapoteza haijakaa sawa.
Serikali itoe maelezo, huyu mwananchi yuko wapi na amechukuliwa na nani?
Haya mambo ni lazima tuendelee kukemea, huyu mtu ana familia yake inayomtegemea kama ana kosa basi afikishwe mahakamani siyo kupotezwa!.
Upande wa pili ukija ku balance story tunaweza kushangaa
Matokeo ya utekaji yameshamiri nchini, na huu ni muendelezo tu wa utekaji kama alivyotekwa Roma, Mo, Ben. Saanane, Kanguye na Azory Gwanda.
Hakuna cha kubalance story hapo.