Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

Huo ndio uanaume!! Sio eti mtu anafukuzwa tu kazi anaamua kujiua!!! Kana kwamba ndio mwisho wa maisha!! Huyu jamaa hata kia fya yuko vizuri kwani kwa maisha hayo magonjwa kama BP, na wenzake wale kama kiharusi wasingemuacha kamwe!! HONGERA KAMANDA
Hahahaha, nimecheka sana
 
Sierra Leone ipo Kaskazini Magharibi mwa Afrika??
Naona mwandishi alitaga somo la Geography
 
Due!
 
Yeuwii! Mwenye Enzi Mungu aniepushe
 
Tunashuku sana Mkuu kwa kuweka hii kitu. Wengi humu hatujawahi kuiona na tusingeiona bila wewe
Bahati mbaya sikuiona mkuu, nilipoipata ikabidi niipandishe. Ni imani yangu wapo ambao hawakua wameiona kama mimi na walau wamepata nafasi ya kuisoma
 
Hii stori dhumuni kumtisha mukulu au [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…