Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

Huo ndio uanaume!! Sio eti mtu anafukuzwa tu kazi anaamua kujiua!!! Kana kwamba ndio mwisho wa maisha!! Huyu jamaa hata kia fya yuko vizuri kwani kwa maisha hayo magonjwa kama BP, na wenzake wale kama kiharusi wasingemuacha kamwe!! HONGERA KAMANDA
umeona ee
 
Huyu yuko peace, halifuja lakini hakujilimbikizia mali na anaonekana hana stress za maisha maana amejikubali, big up Kamanda.
 
ndo maana unaambiwa haya mambo poa yanaenda na umri,miaka 25 unakuwa Rais wa nchi kiuana mapinduzi alafu unakuwa mbweha unategema nn?
 
Maajabu ya dunia. Hii ingizwe kwenye maajabu ya dunia na liwe ajabu la tisa. Utoto na uroho wa madaraka umemponza. Nawakumbuka akina Samwel dor ambao waliishia pabaya lakini huyu kapitiliza. Ila lazima apongezwe kwa kuwa na kiwango kikubwa kabisa duniani cha ku-adapt mazingira. Yeye ni kambi popote. Hongera kamanda japo inaonesha ulistahili kuishi maeneo tofauti na mtaani maana uliharibu sana. Jamaa wamemmaliza hawezi hata kununua manati afanye jaribio lingine ovu kama LA mwaka 1993. Alienda Ikulu kutanua sasa anatanuliwa yeye. Dadadeki
 
Huo ni ufala wake....................................kutoka kuwa raisi hadi ombaomba...............
 
Huyu kweli kamanda na mjeshi halisi aliyefuzu depo. Hivi angekuwa mwingine hamu ya kuishi ingekuwepo, mbona angekuwa kashajipiga kitanzi kitambo tu. Binafsi hata mimi siwezi, toka ikulu hadi mabandani!
 
Mkuu asante kwa kututoa tongo tongo. Kwakweli kwa kupitia hyo jamaa tuna mengi ya kujifunza kama binadamu.
Wakati mwingine tumia akili basi......inakuwaje unaquote post ndefu kiasi hiki???.....[emoji16] [emoji16]

Unaboa
 
Back
Top Bottom