Mwisho missed call Tatu halafu Ondoa dhana Mbaya

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Nimependelea kuandika mada hii kutokana na baadhi yetu kuteswa na mapenzi kiasi kwamba tunasahau kuna mambo mengi muhimu Sana ya kufanya katika hii dunia. Mume wako au mke wako kutopokea Simu si tatizo,au kutopatikana hewani Kwa kipindi flani si tatizo Bali tatizo ni mtazamo wako juu ya kutopokea kwake au kutopatikana kwake hewani.

Mara nyingi kinacho kuja kichwani kwetu ni dhana Mbaya na mawazo hasi na hiyo ndio sumu ambayo inatumaliza wengi, unajua siku zote mawazo hasi na mabaya yanapatikana kirahisi Sana vichwani mwetu Bila kufanya juhudi yoyote Ile,lakini kinyume chake mawazo mazuri na dhana nzur inahitaji juhudi na jitihada ili ufanikiwe.

Ndo maana mtu ukikutana naye njia ukamsalimia bahati mbaya hajakujibu cha Kwanza kuja akilini kwako,ni huyu jamaa anaringa au huyu dada anaringa,lakini kufikiri Kwa mtazamo kwamba inawezekana huyu Kaka au dada huenda hajanisikia au huenda kuna mambo mengi kichwani yanamshughulisha ndio maana huenda hajanisikia,hii ni ngumu Sana kutujia vichwani kwetu kwakuwa yahitaji utafakari.

Sasa kwenye Simu nako ni hivyo hivyo,kama hajapokea Simu au hapatikani,kwakuwa mawazo hasi na dhana Mbaya ni cheap Sana basi yanakujia fasta na mara pup unafikia tamati kuwa huyu mwenza wangu huenda ana mtu mwingine sasa hivi ndio maana hapokei Simu yangu au ndo maana kazima.

Lakini kwanini usifikirie kwamba huenda Simu imeisha chaji au huenda yupo sehemu ya Kelele huenda hajasikia Simu ikiita na kadhalika,Lau kuwa tukifanikiwa kutoruhusu mimemko yetu na papara zetu huenda tukapunguza kujiumiza kihisia na kuepuka kufanya maamuzi ambayo huja kutuharibia mustakabari mzima wa Maisha yetu.

Ukitaka kuwa na Amani na furaha katika mahusiano Jenga Tabia ya kuaminiana,hiyo ndio Siri kubwa ya kupata Amani na utulivu lkn kama unapima uaminifu Kwa vigezo vya kupokea Simu na kutopokea Simu basi itakula kwako,kwakuwa kama mtu ni muhuni ni muhuni Tu atakupokelea Simu yako na Mda wote atakuwa hewani na bado atakucheat.

Kuna homeboy wangu mmoja aliniambia hakika wanawake ni hatari sana,alikuwa faragha na demu wa mtu, mara pup akapigiwa Simu na boy wake akiwa chuoni, sasa wakati huo demu kaukalia kifuani Kwa jamaa lkn cha kushangaza wkt huo huo demu ndo anajifanya ana wivu kishenzi Kwa mchizi wake,anamuuliza kama uko library ebu naomba mpe mwanafunzi mwenzako Simu niongee nae nijue kweli kama mpo library? Haya ebu cheki yeye ndo analiwa wakati huo na kapokea Simu na anajifanya ana wivu hatari! Nadhani umejifunza kitu hapo.

Kwakumalizia always kuwa na dhana nzuri katika mahusiano yako,ninachojua Mimi, habari mbaya siku zote itakufikia Tu,so kama mtu wako anacheat IPO siku utajua Tu,kabla habari mbaya haijakufikia enjoy Ur time na be happy,Achana na hizi missed call 38!!!

Ni hayo Tu, kuwa na siku njema.
 
Ila ukijua kumkojolesha mwanamke hauwez kumonea wivu sijui kwann...
 
Muda wote mwanamke anatakiwa awe na simu yake.
Hyo ni simu ya mkononi sio mezani
 
Mfano ndio hajapokea simu yako utamfanyaje? Mambo mengine wanaume tunajipa stress bure ww jenga nae misingi ya kwamba simu aipokee akiwa mbali akiona ulipiga atoe taarifa dalili mbaya ni pale umepiga mchana hajapokea na hakujulishi mpka umpigie tena hiyo inakua ni kujisahau na dharau sasa dem kama huyo ww piga mkuyenge alaf kausha akisepa asepe ukisema umfuatilie muda mwingine hana hata sababu ya kutopokea simu ila anakupima ww uwezo wako na mawazo yako
 
Watoto ndo inawasumbua hio
 
Point mkuu
 
Back
Top Bottom