barakuda
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 299
- 309
Hivi wimbo wa Mac muga hakuimbiwa yeye kweli?Ulikua ukitaka ugombane na mwisho mpigie wimbo wa MAC MUGA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wimbo wa Mac muga hakuimbiwa yeye kweli?Ulikua ukitaka ugombane na mwisho mpigie wimbo wa MAC MUGA.
KiMaudhui ni km aliimbwa MWISHO lkn King Kiba mwenyewe alikataa!Hivi wimbo wa Mac muga hakuimbiwa yeye kweli?
Umesema sahihi😁😁
Ni kawaida tu yani ni sawa na mtu atoke kwenye familia maskini halafu akapata kizuri kiasi milioni hazisumbui. Huwa ni kama wanarukwa na kichaa kwa hizo fantasies
Tanzania, Africa, latinas na Asians baadhi ni kisanga zaidi 😁😁😁Umesema sahihi
Unakumbuka ishu ya Liyumba yule jamaa wa BOT?
Alihakikisha anakula pussy zote classic za town kisha kuzihonga gari miaka ile
Hizo ndiyo fantasy zetu Wanaume wengi Duniani na Tanzania Kwa ujumla 🤗
Hahahaha..........hatari Mkuu, unakuja kutahamaki umemaliza milioni zako mia 4 kwenye pussy tu 😅🙌Tanzania, Africa, latinas na Asians baadhi ni kisanga zaidi 😁😁😁
Ila pesa huja na mengi ndio maana namuomba Mungu siku nikizifuma. Zile fantasies na tabia toxic zisikomae zaidi
Ancestors wangu wataomboleza makaburini kwa kutoa kijana zoba 😁Hahahaha..........hatari Mkuu, unakuja kutahamaki umemaliza milioni zako mia 4 kwenye pussy tu 😅🙌
Mzururaji tu hapo morogoroKwa sasa Mwisho Mwampamba anafanya shughuli gani?
Na kwa nini alimtekeleza dugu yetu Ray C?
Mwandishi wa huu wimbo aliakisi kwa KIASI kikubwa Maisha ya vijana wengi walio wai kushika pesa na zikapotea na kurudi kua maskiniHivi wimbo wa Mac muga hakuimbiwa yeye kweli?
Kua broke ni kokosa hata sumni.. yaan unaweza kuchizi.Unaumiza Sana hasa uwe broke na ukizingatia ulikuwa vizuri nyuma .
Mwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast.
Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa.
Unaweza kumsikiliza zaidi kwenye video hizi mbili:
View: https://youtu.be/TerskU4goEk?si=9i_DJGdlvFY7l59m
View: https://youtu.be/KWuJuYhuouc?si=NwNOWNH2Jg1AHdA6
Bora kuwa broke ukiwa town ,Wana wanaweza kukuungia duchu duchu ukaimaliza siku .Kua broke ni kokosa hata sumni.. yaan unaweza kuchizi.
Ogopa Sana pia mwenyezi Mungu atuepushe na kua broke.Bora kuwa broke ukiwa town ,Wana wanaweza kukuungia duchu duchu ukaimaliza siku .
Ila huku uswekeni ukiwa broke mpaka mama muuza ulanzi anakuona jini kantumpa tu
Mungu atusaidie tuOgopa Sana pia mwenyezi Mungu atuepushe na kua broke.
Hahaha................ hatari sana 😅🙌Ancestors wangu wataomboleza makaburini kwa kutoa kijana zoba 😁
Mwisho wa kumpamba.Umaarufu una mwisho
Sababu wabongo wakijua unapesa wanaanza kutumia za kwao kwako wakiamini wewe tajiri utarudisha fadhila, kwahiyo mwamba alikuwa anapata miseleleko tu.Alipewa ama lah. Maisha ni yake.
Lakini mbona hakuungumza kipindi kile?
Hivi ile bar yake kule juu na mambo yake ya camping bado anafanyaMwisho amefika mwisho mwana Forest hill huyu.
AiseeeeeInafikirisha sana!
View attachment 3155301