Mwisho wa DUNIA ni kesho tarehe 23-09-2017

Siku ya kufa ndio.mwisho wa dunia kwako
Na ushasema haijatrend AFRICA
Basi huo ni.mwisho wa dunia Ulaya na america
 
Achanganye na zakwake nini??, hahahaha.......
 
Ulikiwa ndani ya mapenzi ya Mungu wala hakuna hata wasiwasi, but biblia haijasema hvo kama mnavyosema ninyi, somen vizur maneno ya Mungu acheni kukurupuka.
 
Mpaka Romani Catholic ilazimishwe kuwa dini pekee duniani (NWO), hapo anza kuhesabu miaka au miezi.
 
Dahhh mbinguni daah kama umekosea huku duniani yaani kule ni kipigo daily kutwa mara tatu halafu no kula
 
Wasitutanie aise,yani wameona tunaanza kudhibiti Tanzanite yetu alafu wanatutisha siyo?itakua Sii Dunia hii wewe,ni Dunia ya bwana Trump na Kiduku wake,tena watuache tuendelee na ujenzi wa Ukuta wa kuzuia wezi wa Tanzanite yetu na Noah zetu nasikia zipo njiani.
 
Kama unaamini Kesho ndio mwisho basi hakuna shida, gawa mali zako zote kwa wale wanaoamini kesho sio mwisho, Ugawe leo tena kwa maandishi.
Na ni vizuri aanze na mimi ndio aendelee kwa wengine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…