Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

Nimelia sana hadi mashavu yote yameumuka na kujaa machozi debe.

Sijapenda jinsi MOTHER DRAGON alivyopigwa BISU LA TUMBO. Niliumia mnoo.

Nilitarajia kuona MOTHER DRAGON anaendelea kugawa kichapo na kuvamia himaya zingine.

The Dragon Queen was truly dramatic.

Nimelia hadi nimejamba 😭😭😭

fundi bishoo
 
it surely caused trauma to many of us , of that I'm sure☹️
 
Mwanangu una ID ngap
 
😭😭nlivoona hii coment nimelia sana 😭😭😭😭😭 amekufaaa
 
Kaangalie house of the dragon ndo imetoa majibu yote kwanin GOT imeisha vile
 
Hii ndio maana halisi ya "Drama"kifupi ki afrika ndio ingeisha vile watazamaji wanataka but in real series na utamaduni wa wakati huo ilipaswa kuisha ilivyoisha
1.John Snow alimuhitaji Dragon mother kwa ajili ya vita na the dead lakini sio kwamba alimpenda
2.Dragon mother alikuwa threat kwa Starks na Snow alikuwa anaipenda hii familia asingeruhusu
3.Sikupenda Sansa kuwa queen of the north lakini ukiangalia mfumo ulimuandaa yeye zaidi as maisha yake yote amezunguka kwenye castles of queens and kings
4.nilitamani kuiona battle ya king Robert na King Tagaryen aliyeuliwa na Ser Jemie lakini tulikuwa tunahadithiwa TU
5.Naamini Sansa hatodumu sana kwenye Throne maana sio mzuri kwenye vita na ana ego
6.My best characters
1.John Snow
2.Samuel Tarry
3.Arya Stark(the north remember)
4.Cercei
5.Tyrion
6.Rafiki ya Tyrion
 
on point 5 and 6 you are absolutely right brother .
 
Game of thrones Sija bahatika kuielewa labda kwakuwa nimekua nikiiiangalia nusu nusu
 
Kwa wale ambao you've been watching this show I don't know why the end broke my heart so bad

inshort nimejisikia vibaya sana🥺😭

why the show had to end like that, why lakini🥺🥺🥺🥺🥺
kumbe nilidhani mgonjwa wa akili nipo peke yangu tuu ....kumbe tupo wengi hvi
 
Kwa wale ambao you've been watching this show I don't know why the end broke my heart so bad

inshort nimejisikia vibaya sana🥺😭

why the show had to end like that, why lakini🥺🥺🥺🥺🥺
Kila mtu alilalamika ila mwandishi wa vitabu yeye alikuwa hajakamilisha story so wao waliona waimalize hivyo. Pia kuanzia nadhani season 7 walibadilisha mwandishi aliharakisha kumharibu daenarys walau angempeleka taratibu hadi kufikia wazimu. Sema wazimu uko katika familia yao au umesahau the mad king.
Mwisho kabisa John snow ningependa angepata kuwa king lakini mwisho kakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…