Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

Sure. Nilitokea kuizarau sana GOT sijui ni kwasababu niliangalia iliyotafsiriwa na kina marphy dj?
you surely missed the bright spot of it buddy.
Mimi binafsi any movie iliyotafsiriwa siangalii, for I know I'll miss the story behind the glimpse of act.
 
Kwa wale ambao you've been watching this show I don't know why the end broke my heart so bad

inshort nimejisikia vibaya sana🥺😭

why the show had to end like that, why lakini🥺🥺🥺🥺🥺
Aliyeandika story kashindwa kuimaliza,walioandika hivyo uwezo wao ndio umeishia hapo.
 
Kila mtu alilalamika ila mwandishi wa vitabu yeye alikuwa hajakamilisha story so wao waliona waimalize hivyo. Pia kuanzia nadhani season 7 walibadilisha mwandishi aliharakisha kumharibu daenarys walau angempeleka taratibu hadi kufikia wazimu. Sema wazimu uko katika familia yao au umesahau the mad king.
Mwisho kabisa John snow ningependa angepata kuwa king lakini mwisho kakosa.
John Snow alikosa quality ya king and queens wa wakati wake hakuwa na tabia ya kuteka na kutawala
 
Niliiacha mwanzoni tuu...ile wheather ya usiku usiku sijui mvua mvua sijui giza umande viliniboa..na ina kufanya fanya matusi mnoo...
Labda ngono lkn tafuta zenye quality nzuri mfaano 1080p au 2160p hutaona hilo giza.
 
wametukosea sana , jon snow ingependeza if angemuoa dragon mother instead of killing her like that, inshort jamaa ni msaliti like why he even told his siblings kitu ambacho amepromise kua he will not say?
Msaliti sio?? Unafikiri Dayneris angemuacha Jon hai ikiwa tayari anajua he is true heir to the throne we hukusikia Dany alivyosema kwa Dothrak na unsullied kuwa ushindi wa kuiangusha Kingslanding haujaishia hapo bali utaendelea Westeros yote mpaka Winterfel jamaa akajua hapo sasa anaendwa nyooshwa kina Sansa akamuwahi.

Jon SNow alikuwa right.. he killed a mad queen to save the reign of the men.
 
Nimeziangalia zote tena kwa utulivu aisee GoT ni level sana Wala sio hype vile ndio tawala zilivyotengenezwa ukiachilia Yale ma dragon
Adapted screenplay sio jambo la kushangaza, BrBad is an original screenplay, its way more impressive
 
Back
Top Bottom