Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani ili wenye Demokrasia watawale.
Mgogoro wa Museveni na Marekani utamuondoa madarakani kwa njia yoyote kama Gaddaf au Saadam Hussein.
Rais wa Afrika hana uwezo wa kupambana na mabeberu kwao anaonekana kama dagaa halingani na mabeberu ambao ni nyangumi hata theluthi moja. Hivyo basi Shirika la Haki za Binadamu linaweza kumshughulikia ipasavyo.
Onyo alilopewa na Shirika la haki za binadamu amekiuka kwahiyo ategemee malipo ya kiburi chake kama walivyolipwa watukutu wenzake waliokuwa na kiburi ikiwemo Gaddaf, Saadam Hussein, Idd Amin na Msukuma