Mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika

Mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika

N
Museveni hawezi kupibduliwa na mashoga
Waganda walio wengi hawataki huo ujinga

Mtu yeyote Uganda akionyesha tu kuwa anaunga mkono ushoga wananchi walio wengi watamuua mtaani wala hawatasubiri mahakama
Imeipenda hii.
Nchi ya kusini mwa Uganda nao wakitumia hii itapendeza sana.
 
Ina maana upinde ni marufuku uganda? Waganda walizidi mno kujionesha mpaka wakawa wanapeperusha ile bendera ya upinde. Bongo sijawahi kuona watu wa upinde wakipeperusha bendera yao hadharani. Hivi wakinyanduana kwa siri kuna mtu atajua ili kuripoti wakamatwe? Bongo iwe na hekima na busara za kupambana na upinde wasikurupuke kuiga uganda
 
Africa tumelelewa ki coward sana. Vijana wa leo wapo radhi kukubali kudidimizwa ila sio kusimamia haki.

Sasa mfano hapa mleta mada tazama alivyokuwa na spirit ya uoga na uzembe kiasi kwamba yupo radhi kumtetea shetani au mtu anayeangamiza na sio kutetea utamaduni wale kwa jasho na Damu.

Msimamo wako wa kwanza ni wewe ndani ya nafsi yako inaamini nini na sio Marekani anasema nini. Marekani anaweza kutaka mataifa mengine yafuate tamaduni zake kama Democracy and this crap about Homosexuality, but je ana hiyo haki hadi wewe uje hapa kumtetea yeye tena kinafiki kabisa.

So kama kuna mtu anawaonea wewe na familia yako wewe utasimama upande wake, ina maana wewe hofu au uoga wako unaupa nafasi ya kwanza before familia yako?

Museven ni rais wa taifa la watu weusi same as wewe, je kutetea jamii yake ya mtu mweusi inakupaje wewe hofu hadi unafikia hatua ya kusimama upande wa Marekani na interests zake badala ya kusimama na mtu mweusi mwenzako ambaye analinda na kutetea tamaduni ya mtu mweusi.

Ushoga wewe unakuhusu nini , kuna utamaduni wa mwafrika sehemu unasema ni sawa watu kuoana jinsia moja tena kisheria?! Kwann usapoti sasa taifa linaloshinikiza huo ushenzi kwa wengine?!
Piga safar Fungu Tango weekend hii
 
Tatizo sio kuamuliwa tatizo letu waafrika ni kiburi kinatudanganya sana hatutaki kuambiwa ukweli kuwa sisi ni wadogo. Ili tufanikiwe lazima kwanza tukubali sisi ni wadogo na tuombe kusaidiwa ili tufike yalipofika mataifa makubwa kama Japan, China na mengineyo
Kwaiyo kwa upande wako Uko tayari ufirwe ili mradi TU utolewe kwny umaskini?[emoji848]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu vinachekesha......
Bunge la Uganda lililochaguliwa na waganda limetunga Sheria kwa ajili ya Waganda ( nadhani hii ndio demokrasia), lakini anayeumia ni USA na vibaraka wake.
Ha ha ha....afu USA uyo uyo anaejifanya kinara wa demokrasia duniani[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya hili bandiko ndio nimekusoma, kumbe shida yako sio Museveni au Marekani, ajenda ya ni tuukubali huo uchafu kisa ulikuwepo kitambo, sasa nasemaje!! Uganda wamekataa ushoga ikikuuma kalilie chooni.
Kwa sasa Uganda hata fununu za ushoga zinakutia matatani, mnapaswa mpigwe sana nyie watu, huo ujinga wenu msiulazimishe.
Binafsi sikuwa nimemuelewa mtoa mada na lengo la huu uzi wake, ila sasa nimemuelewa, na mimi nasemaje huo upunga wao kamwe hauwezi fanikiwa.
 
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.

Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani ili wenye Demokrasia watawale.

Mgogoro wa Museveni na Marekani utamuondoa madarakani kwa njia yoyote kama Gaddaf au Saadam Hussein.

Rais wa Afrika hana uwezo wa kupambana na mabeberu kwao anaonekana kama dagaa halingani na mabeberu ambao ni nyangumi hata theluthi moja. Hivyo basi Shirika la Haki za Binadamu linaweza kumshughulikia ipasavyo.

Onyo alilopewa na Shirika la haki za binadamu amekiuka kwahiyo ategemee malipo ya kiburi chake kama walivyolipwa watukutu wenzake waliokuwa na kiburi ikiwemo Gaddaf, Saadam Hussein, Idd Amin na Msukuma
Acheni nidhamu ya uoga. Sisi Afrika tunafanya mambo yetu bila kumuingilia Mmarekani maisha yake ndani ya nchi yake.

Naye atuache tufanye yetu kulingana na jamii zetu za Kiafrika kama vile ambvyo sisi hatumbughudhi yeye na siasa za nchini mwake.

Na hiyo African Union ijitathmini upya, isikubali Afrika tupigwe mikwara mbuzi na kudharaulika. Kama vipi ifanye mchakato wa kumiliki hata nuclear weapon kadhaa ili heshima iwepo duniani kwa Afrika.

Mwisho kabisa wa Afrika tujifunze kujitegemea kwa kila kitu ili tusiwe watu wakupelekeshwa.
 
Tatizo sio kuamuliwa tatizo letu waafrika ni kiburi kinatudanganya sana hatutaki kuambiwa ukweli kuwa sisi ni wadogo. Ili tufanikiwe lazima kwanza tukubali sisi ni wadogo na tuombe kusaidiwa ili tufike yalipofika mataifa makubwa kama Japan, China na mengineyo
Kwa hiyo upo tayari kuwa shoga?
 
Back
Top Bottom