Gwivax Da Material
Member
- Aug 11, 2015
- 28
- 35
Hapa mimi sidhani kama Mu7 anapambana na mmarekani ila nadhani mmarekani ndiye anayepambana na waganda. Sheria imetungwa kwa kujadiliwa bungeni na kupigiwa kura za ndio. There is no infingment of democracy.