Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

Binafsi nawapenda wote hasa wale ambao hawanaga majibu ya shombo. Kama unajijua huwa unajibu hoja vizuri bila kutukana jua tu nakupenda. Kuna wale pia huwa wana michango yenye kuchekesha hata kama ameenda nje ya mada hawa nao wanafanya hili jukwaa liwe sehemu ya burudani. Mbarikiwe sana kila mmoja kwa nafasi yake.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Waambie hao uliowataja hapo kwamba uchaguzi ujao wamchukue dotto magari wazunguke nae nchi nzima kwa ajili ya kampeni... anajituma sana kuitetea na kuisifia Nchi, Rais na utawala wake, chama tawala na kigumu kuganduka cha CCM na watu wake yule kijana 😂🙌🏾
Dotto lazima ale shavu uchaguzi ujao. Naona hata yeye kashausoma mchezo.
 
Back
Top Bottom